MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,512
- 15,125
Mmh, do wat u like wat u think ll make u feel gd.
Kwahiyo kutafuta mume ndo uzee huo?Tuttyfruity,
Anything past 25 years, majority of them they're not after thrill and excitement wao wanatafutaga mume. [emoji3]
alcohol make me happy and feeling good [emoji849][emoji849] .anyway I will try another alternativeMmh, do wat u like wat u think ll make u feel gd.
cervix ni nini?Kuna ugumu Fulani,ila kwa mwanamke aliyetoa mimba Mara kadhaa cervix inakuwa loose kwa sababu imeshafunguka,lakini kwa mimba zilitokea karbia na kujifungua kuna vialama na stretch mark zinakuwepo sehemu za kiunoni ivi,in general its difficult
Sent using Jamii Forums mobile app
nisaidie mkuu kumjuaMkuu huyo mkeo / gash wako atapata tabu sana maana unamchukulia kozi za kijasus huku.
Nimeona uzi wako unaouliza namna ya kujua Tigo/0713 ya mwanamke iliyochakatwa..Saa hiz tena naona unataka kujua namna gan ya kumjua aliye abort.!!
Mkuu ww piga chin tu kama unaona humuwezi au humuelewi elewi..mana wahenga walishasema ukimchunguza sama samaki hutamla
Maelezo haya bila picha ni "batili"Mm mbona Mimi nna chuchu black sana ila sijawai toa kijusi na matari wangu chini ya kitovu uko mweusi tii but sina mimba..so inategemea
Labda kama unataka kujua kuwa ameshawahi kushika mimba kwenye maisha yake unaweza mtambua...
Angalia Ile sehemu ya titi yenye weusi unauzunguka chuchu ile sehemu kwa mtu aliyeshika mimba huwa nyeusi zaidi kuliko ambaye hajawahi,na kovu halifutiki ng'oo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Titi huwa limelegea kama ndalaaa
Unataka kumsafisha kizazi kwani?habarini za mda huu?
niko hapa ili tupeane maalifa mbali mbali ambayo yanaweza kutusaidia kujenga na kubomoa pia kama inawezekana.
twende kwenye msingi wa mada kwa wataalam naomba kufahamu utamjuaje mwanamke au mshichana alietoa mimba hasa kwa Sisi vijana wabichi tunaotafuta wanawake wakuoa?
naomba kufahamu wajuvi tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh[emoji51]..mbona mi ndo caption zangu hizo[emoji1787][emoji1787]Mdada akipost picha ya mama yake kwenye mitandao na kuweka caption "wewe ndo msiri wangu" tambua kuwa mimba kashatoa Huyo.
Basi ushatoa mimbaTeh teh[emoji51]..mbona mi ndo caption zangu hizo[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app