Utamjuaje mwanamke aliyetoa ujauzito?

Utamjuaje mwanamke aliyetoa ujauzito?

Labda kama unataka kujua kuwa ameshawahi kushika mimba kwenye maisha yake unaweza mtambua...

Angalia Ile sehemu ya titi yenye weusi unauzunguka chuchu ile sehemu kwa mtu aliyeshika mimba huwa nyeusi zaidi kuliko ambaye hajawahi,na kovu halifutiki ng'oo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uongo...
 
Wote wameshindwa kukupa jibu ila am telling you zipo njia my dear brother nazo ni hizi hapa÷

°kama hujakuta bikra believe me kashawahi toa tena sio moja

°Ukiona mwanamke hapendi kula sana ugali trust me one of them

°Ukiona anapendwa sana na mama yake haa hujue hayo majanga mzee abortion happen

Progress not perfection
Chizi wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna uwezekano wa kujua alietoa mimba labda aseme mwenyewe.
Pia dawa za kutoa mimba ndo zinauzika sana kuliko za maleria. Nenda pharmacy hasa zile around college or university watakupa mrejesho.
 
Kuna mtoto flani ninayepunguzia ugwadu kwake. Huyo mtoto ni mzuri jamani ila sasa juzi nimekaa nae kumbe kashapigwa mimba na mbabu flani ila hataki kuzaa nae so akaamua ku abort.

Siku ameniita ni siku amebugia midawa ya kufyatua mzigo i was so suprised aisee, nilichoweza kumsaidia ni kumuongezea Sanitary Pads tu.

Katika Story story ananiambia ila ametoa mimba kwa staili karibia zote na hii rekodi ya sasa itakuwa mimba ya 7 kutoa. Alianzia Zenji alipokua anafanya kazi ya hoteli. Aisee nilibaki mdomo wazi na kuona kumbe kuna watu wana roho ngumu aisee. Mimba 7?
Tobaaa toba toba, atakufa jamani si umwambie tu atumie njia za uzazi wa mpango sasa, mimba saba si mchezo jamani,,,....... Hizo miso zinapasua kizazi atakufa ohoooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini za mda huu?

Niko hapa ili tupeane maalifa mbali mbali ambayo yanaweza kutusaidia kujenga na kubomoa pia kama inawezekana.

Twende kwenye msingi wa mada kwa wataalam naomba kufahamu utamjuaje mwanamke au mshichana alietoa mimba hasa kwa Sisi vijana wabichi tunaotafuta wanawake wakuoa?

Naomba kufahamu wajuvi tafadhali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Anzisha mada ya kutoa mimba. Mwangalie vizuri usoni uone response yake..

Fanya hivyo angalau mara tatu katika mazingira tofauti. Utapata jibu.

Njia ya uhakika 100% awe bikra. Vinginevyo ni kucheza tatu mzuka.
 
Viashiria Vingi
1.Hayuko Bikra
2.Hanauwezo Wa kulala kwako bila Kuogopa wazazi wako
3.Anajifanya Hapendi London eti inamuwasha au Anajifanya anaogopa Mimba kuliko Ukimwi
4.Ana uwezo Wa kukuangalia Usoni Dakika 30 mkavu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom