Kujua ni kazi sana, labda utumie njia za kijasusi, kuna mmoja namjua kaishatoa kama 5 lakini kamwe huwezi jua. Hata kwa njia za kijasusi kupata idadi kamili ni kazi sana. Kaa karibu na Pharmacies wanazouza dawa inaitwa Misoprostal (sina uhakika na spelling zake) utastaajabu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app

