Utamjuaje mwanamke aliyetoa ujauzito?

Utamjuaje mwanamke aliyetoa ujauzito?

kumfamhamu ni ngumu, labda kama siku kadhaa baada ya kutoa hua akipima vipimo vinaonesha mimba ipo..... lakini baada ya muda kupita kutambua ni ngumu
Akitoa huwa dalili za mimba zinakata ndani ya siku 2, dalili zinakataga mapema sAana.

Kumbuka hata mimba yenyewe huwa inatoka ndani ya masaa yasiyozid 5.

Vile vipimo vitaendelea kusoma positive si zaidi ya wiki moja na nusu. Vingine hata baada ya wiki vinasoma negative, nadhani inaweza ikawa anategemea na ukubwa wa mimba, homoni za mtu.

Achana na mistro, zina laana zile dawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akitoa huwa dalili za mimba zinakata ndani ya siku 2, dalili zinakataga mapema sAana.

Kumbuka hata mimba yenyewe huwa inatoka ndani ya masaa yasiyozid 5.

Vile vipimo vitaendelea kusoma positive si zaidi ya wiki moja na nusu. Vingine hata baada ya wiki vinasoma negative, nadhani inaweza ikawa anategemea na ukubwa wa mimba, homoni za mtu.

Achana na mistro, zina laana zile dawa.

Sent using Jamii Forums mobile app

daah et zina laana
 
Kuna mtoto flani ninayepunguzia ugwadu kwake. Huyo mtoto ni mzuri jamani ila sasa juzi nimekaa nae kumbe kashapigwa mimba na mbabu flani ila hataki kuzaa nae so akaamua ku abort.

Siku ameniita ni siku amebugia midawa ya kufyatua mzigo i was so suprised aisee, nilichoweza kumsaidia ni kumuongezea Sanitary Pads tu.

Katika Story story ananiambia ila ametoa mimba kwa staili karibia zote na hii rekodi ya sasa itakuwa mimba ya 7 kutoa. Alianzia Zenji alipokua anafanya kazi ya hoteli. Aisee nilibaki mdomo wazi na kuona kumbe kuna watu wana roho ngumu aisee. Mimba 7?
Huenda zikawa 10, kumbuka kasema chache ili walau usimwone muovu.

Sasa sikiliza, embu mwambie akachome sindano au awekwe kifaa ndani ya uke.

Kwanini nakwambia hivi? Hizo kuta za uzazi zitakuwa kuwa weak, ata siku akitaka kuzaa mimba zitakuwa zinatoka sababu kuta hazina nguvu za kuishika mimba.

Zile mistro kazi yake ni kukwangua kuta, so ile force ya damu inayotoka ktk kukwanguliwa kwa kuta za uzazi ndo zinapushi uchafu wowote ulio katika kizazi utoke, hapa sasa ata mimba pia itaonekana ni uchafu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe nini? (joke)

Usishangae mkuu. Wapo chinjachinja na wanyongaji. Haya mambo yangekuwa yanarekodiwa, wapo wengine wange-qualify kuingia kwenye kitabu cha maajabu ya dunia. Kuna age ya 'viatu' na siyo watu aisee. Wanachoangalia wao ni wakati uliopo tu. Hawa wanaitwa fearless people. Just imagine kutoa mimba 7!! Kama ni kweli, Je unadhani ana woga au hofu yoyote huyo kweli?
Mwili umesisimka niliposoma hiyo idadi. Yaani, seven times!?? Oh! My God!
Tusali na kumlilia Mungu anusuru haya majanga. .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana I beg to differ !!
Wote wameshindwa kukupa jibu ila am telling you zipo njia my dear brother nazo ni hizi hapa÷

°kama hujakuta bikra believe me kashawahi toa tena sio moja

°Ukiona mwanamke hapendi kula sana ugali trust me one of them

°Ukiona anapendwa sana na mama yake haa hujue hayo majanga mzee abortion happen

Progress not perfection

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom