Utakuwaje uwe mmbea kiasi hicho

itakuwa kali si mchezo kwani watazikinga ngumi like this images.jpg
nataka sikumoja nishuhudie wanavyosutana sijui inakuwaje teh..teh...
 
sio kuwaponda bali kuwadidimiza kabisa kwani wako wanaume ambao wana tabia mbovu kabisa wew janaume zima kazi umekalia umbeya una kitu cha kufanya unatoa mambo ya lady huku na kumpelekea mume wake huoni hunaharibu ndoa za watu wameniuzi ndo mana nimeamua kuwadidimiiza na kuwapondaponda na kuwasagasaga kabisa kwa tabia yao hiyo
Naona umeamua kutuponda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom