Utakuwaje uwe mmbea kiasi hicho

sio kuwaponda bali kuwadidimiza kabisa kwani wako wanaume ambao wana tabia mbovu kabisa wew janaume zima kazi umekalia umbeya una kitu cha kufanya unatoa mambo ya lady huku na kumpelekea mume wake huoni hunaharibu ndoa za watu wameniuzi ndo mana nimeamua kuwadidimiiza na kuwapondaponda na kuwasagasaga kabisa kwa tabia yao hiyo
kweli umethubutu
 
elewa kiswahili na jua methali za kibantu hapo nimetumia picha best kwani hujapitia shule ya awali na msingi wewe?
Hahahah sasa si ye mwenyewe anadai kawavulia nguo wanaume...ndio maana nikamshauri amalizie na hizo mbili zilizobaki
 
mwanaume sio mmbea bali mwanaume ni mtafiti, wanawake ndio wambea yaani wachonganishi vibaya sana
 
laiti ungelifahamu nyie ndo mnaongoza kwa 88% usingethubutu kusema hivyo, nyie ndo wambea wakubwa sana bora hata wanawake kwani umbea wao ni wa vitendo na khanga kisha wanapeta
mwanaume sio mmbea bali mwanaume ni mtafiti, wanawake ndio wambea yaani wachonganishi vibaya sana
 
Last edited by a moderator:
yani mtu wangu ungekuwa karibu ningekupa high 5 wewe unafaaa sana kwani chombo Smile yuko likizo mpaka arudi hapa mjengoni ni 2015 wakati wa uchaguzi
na kuwasagasaga kabisa!! Ndio mjirekebishe! Lol!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom