Utakuwaje uwe mmbea kiasi hicho

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
14,699
9,460
Hai all mafrendo wa cc hapa kijiweni

mpoje jamani shughuli, kazi, masomo yanakwendaje jamani
ndo tuko nusu mwaka wa 2013 mwenzenu niko very handover
na niko kamili huku nikiungurumisha stage kwa kubinuka kiupande
huku nikitoa neno kwa wale wasiotaka kubadilika hasa WANAUME


man.jpg
ONA HAPA SASA

Msishangae kwanini leo nasema hivi hizi tabia za hawa MAKAKA,
MABABA, YOUNG BOY
zinanifanya niwafunde kila iitwapo leo.
Siku hizi kumezuka katabia kwao kwa kupenda kuingilia vitu ambavyo
haviwahusu na vilevile wana mikogo isipimika hata kwenye mizani hawa
ndugu zetu, Wewe mwanaume mzima umekuta watu wanazungumza
maongezi yao wewe unaanza kuingilia halafu vilevile unashadadia utadhani
ulikuwepo walipokuwa wanaanza, na wengine jambo lisilowahusu wanalishupalia
na kulivalia njuga utadhani ni lao.

Hivi tabia hiyo mtaacha lini ya kupenda
kutoa jambo huku na kupeleka kwingine huo ndo ummbea tunaousemaga
jamani WANAUME acheni tabia hiyo kwani nimefanya tafiti zangu wanaume
ndo wanaongoza kwa kuwa na tabia ya umbea/ upashunaku, na wanasema
kuwa eti wanawake ndo wenye tabia hiyo wakati wao ndo wenyewe
wanaongoza kwa 88% huoni nyie ndo wa wambea acheni tabia hiyo sio
njema, ukitaka kujua zaidi tembelea sehemu za maofisini utajua kuwa akina
nani wanaoongoza kwa ummbea ni WANAUME zaidi sana yani hata yale ya
makwao hutoaga bure bila hata kuona soni jamani makaka, mababa zangu
acheni tabia hiyo sio nzuri kabisa kwani inaondoa heshima kwenu jamani.

Mimi lady sina la kuongeza hapo kwani ujumbe nshaufikisha kwenu kazi
kwenu kubadilika, sijui marafiki zangu wa cc hapa hasa wanawake wana
semaje kwa hili maana imekuwa kero kubwa jamani, NDO MANA NAWAFUNDA
KULE KATIKA KONA YETU MJIREKEBISHE

ITAKUWAJE UWE MMBEA KIASI HICHO MPAKA UNAPITILIZA ACHENI
 
hii 88% umetolea wapi?kuna utafiti umefanya?
naona umeandika vitu vingi sidhani km unaelewa uzito wa maneno uliyotoa...
will be back!.
 
utafiti umeshafanywa ndo mana nimeandika hapo na naelewa labda wewe ulete majanga hapa
hii 88% umetolea wapi?kuna utafiti umefanya?
naona umeandika vitu vingi sidhani km unaelewa uzito wa maneno uliyotoa...
will be back!.
 
Huyo uliyenaye ndo yuko safi na si wote bestito wengi wao ni wambea sana tena sana na ndo mana nimeona niwape vipande vyao hapa livelive
As nampenda mwanaume mmoja naamini na wengine wako safi wote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom