Utajiri wa kufa na kuoza ndio pesa ije

Utajiri wa kufa na kuoza ndio pesa ije

Shida Iko Hivi, Humu Kunawengine Bado Hawajajua Maisha, Kila Kitu Wao Wanakitafsiri Kwa Macho Na Akili Ya Kawaida Wakati Mtoa Uzi Kasema Kabisa Ni Utajiri Wa Kichawi.

Mambo Ya Kiroho Bila Kujali Ni Ya Mungu Au Ya Shetani Si Yote Utayaona Kwa Macho Yako Ya Kawaida, Mengine Unataasikia Lakn Mengine Utayaona Sehemu Ndogo Tu.

Mnachotakiwa Kuelewa Tendo Hili Halifanyiki Kama Unavyoenda Kazini Kila Mmoja Anajua Unaenda Kazini.
Mambo Ya Kiroho Hufanyika Sirini Bila Kujali Ni Mambo Ya Mungu Au Ya Shetani

Unaweza Kuishi Na Mkeo/Mumeo Mchawi Na Usijue Lakn Watu Wa Nje Wanajua Na Kila Siku Usiku Mwenziwako Anakwenda Kuwanga.

Mshana Mi Nakulaumu Kitu Kimoja.
Unajua Wazi Ndugu Yako Sina Ajira Na Naishi Maish Magumu, Badala Ya Kunipa Fursa Hiyo Unanibania. . . . [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Sawa Bana Ngoja Nipachunguze Kwa Wakat Wangu, Nikipapata Nanunua Verosa Halafu Tusijuane, Hata Ukinikuta Bar Nakula Lager Zangu Usinijue Bro
[emoji593] [emoji445] [emoji481]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji22] [emoji23] [emoji22] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ni aina mojawapo ya uchawi wa kupata utajiri ukiacha huu wa ;
kuua ndugu
Kuwafanya wanafamilia ndondocha
Kuwekwa kidonda mwilini
Kupewa masharti ya chakula nguo na magari nk nk
Huu una mambo yake ya ajabu, unapewa dawa ambayo utamshirikisha mkeo tuu....ukishakunywa hiyo dawa unakufa na kuoza kabisa mpaka kutoa funza wengi
Sasa mkeo kazi yake kila siku itabidi awafagie hao funza na kuwaweka kwenye ndio kwa mpaka siku ya saba utakapofufuka..... utajiri wako utategemea na wingi wa funza watakaokusanywa kwa siku
Ukishamaliza siku Saba utafufuka na biashara zako zitaanza kuchanganya
Onyo na tahadhari
-hutakiwi kuwa na mwanamke mwingine
-mkeo hapaswi kushtuka mara ya kwanza akiwaona funza utakufa moja kwa moja
-so wewe wala mkeo mnapaswa kutoa siri hii kwa yeyote hata chini ya mtutu wa bunduki
-Ishu ya kufa wiki nzima na kuoza utaifanya kila biashara zinapoyumba
Kama bado unataka utajiri kwa njia za mkato fikiria mara mbili kabla hujamua
Mkuu si lazima iwe na mkeo au mwanamke. hata mwanaume mwenzio awe best friend au sibling inawezekana. kikubwa kuwe na siri, ujasili na kuaminiana.
 
Teh!Teh!Naona umedhamiria kumuua pepe kalle kwa utajiri wa kufa na kuoza.
No Mkuu, Ninachotaka Tuelewane Ni Kwmb, Hakuna Anayejua Ktk Hilo Sema Tu Mara Nyingi Wanamuziki Wakubwa Hufa Kutokana Na Kukosea Mashariti Ya Mikataba Waloingia, So Sikukatalii Na Wewe Usinikatalie Maana Mwisho Wa Siku Mungu Na Shetani Ndio Wanajua Huyu Ni Wa Upande Gani [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji106]
 
nina jamaa namjua tajiri ila aliupata ghafla, barazani kwake kwa juu kuna nyuki wamjenga kinyumba na wanang'ata watoto wake hata wageni lakini hata haahangaiki kuwatoa, ni uchawi gani huo?
 
Back
Top Bottom