Utajiri wa kufa na kuoza ndio pesa ije

Utajiri wa kufa na kuoza ndio pesa ije

Nilihadithiwa unaenda kwa mganga then usiku mnatoka na mganga ameshika kuku ww umeshika punje za mahindi katika mikono yako unamwaga uwanjani kuku anakula. Punje atakazo kula ndio urefu wa maisha yako ie akila 10 unakaa miaka 10 ya utajiri wa kutupwa etc
Naskia kwa wakinga iko common sana
Hahaa unanikumbusha rafiki yangu yuko boda ashawahi kwenda kujaribu ila kabla hajafika njiani akakutana na jamaa ni mtu mzima kiasi jasho likimtoka akamwambia kijana bado mdogo yapende maisha yako huko unakoenda ni kugumu hapa nilipo nimechanganyikiwa nimetoka huko akaondoka basi jamaa angu alikaa masaa kadhaa njiani akiifikiria ile kauli baadae akachukua uamuzi wa kurudi abadili maamuzi ya kuchukua wa staili nyingine...Utajiri wa aina hi nao mgumu wengi wanaukimbia pia mana punje huwa zaliwa 2,3&4
 
Nilihadithiwa unaenda kwa mganga then usiku mnatoka na mganga ameshika kuku ww umeshika punje za mahindi katika mikono yako unamwaga uwanjani kuku anakula. Punje atakazo kula ndio urefu wa maisha yako ie akila 10 unakaa miaka 10 ya utajiri wa kutupwa etc
Naskia kwa wakinga iko common sana
Ayaaa umewataja!
 
Back
Top Bottom