Utajiri wa kufa na kuoza ndio pesa ije

Utajiri wa kufa na kuoza ndio pesa ije

Watu wanadharau hii mada, ila mimi mwenyewe ni mtafutaji na ktk kutafuta maisha kuna mengi,,,, una la ziada niPM nikujuze!
Asiyejua maana haambiwi maana...! Juha siku zote hujifanya mwerevu kuliko wote...usoni atakufyonya lakini moyoni anakukubali....kule kuku Diss ni dalili za inferiority complex. ...mtu wa namna hii unamdharau tuu
 
Duh!kuna tajiri mmoja yeye alipewa sharti la kutojisaidia chooni(yaani ni mtu wa kukata gogo porini)sasa ukiwa posta mpya sijui pori la haraka linakuwa wapi?
 
Asiyejua maana haambiwi maana...! Juha siku zote hujifanya mwerevu kuliko wote...usoni atakufyonya lakini moyoni anakukubali....kule kuku Diss ni dalili za inferiority complex. ...mtu wa namna hii unamdharau tuu
Worry not mkuu, ukweli siku zote utabaki kuwa kweli,,,yawezekana anayekataa hapa ni mhusika wa huko!! Lets be patient!
 
Ni aina mojawapo ya uchawi wa kupata utajiri ukiacha huu wa ;
kuua ndugu
Kuwafanya wanafamilia ndondocha
Kuwekwa kidonda mwilini
Kupewa masharti ya chakula nguo na magari nk nk
Huu una mambo yake ya ajabu, unapewa dawa ambayo utamshirikisha mkeo tuu....ukishakunywa hiyo dawa unakufa na kuoza kabisa mpaka kutoa funza wengi
Sasa mkeo kazi yake kila siku itabidi awafagie hao funza na kuwaweka kwenye ndio kwa mpaka siku ya saba utakapofufuka..... utajiri wako utategemea na wingi wa funza watakaokusanywa kwa siku
Ukishamaliza siku Saba utafufuka na biashara zako zitaanza kuchanganya
Onyo na tahadhari
-hutakiwi kuwa na mwanamke mwingine
-mkeo hapaswi kushtuka mara ya kwanza akiwaona funza utakufa moja kwa moja
-so wewe wala mkeo mnapaswa kutoa siri hii kwa yeyote hata chini ya mtutu wa bunduki
-Ishu ya kufa wiki nzima na kuoza utaifanya kila biashara zinapoyumba
Kama bado unataka utajiri kwa njia za mkato fikiria mara mbili kabla hujamua
Mkuu Mshana jr mbona haya mambo unayaelewa sana? Au nimdau?nijulishe niku pm maana nahitaji sana fweeedha
 
Back
Top Bottom