Lumbi9
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 8,752
- 12,482
mara utaambiwa ooh usile tiGO, asa hayo masharti gani..Hapo sasa.Hela za nini sasa?!Maana kama kula nina kula hata sasa hivi
mara utaambiwa ooh usile tiGO, asa hayo masharti gani..Hapo sasa.Hela za nini sasa?!Maana kama kula nina kula hata sasa hivi
Eti!!!wakati warembo wanataka kukuburudisha usahau shida zako...hela ya masharti ni ujinga.Nikitaka kumkanyaga mtoto mrembo yoyote, kokote nataka niwe hurumara utaambiwa ooh usile tiGO, asa hayo masharti gani..
wacha tu nibebe hili zege kibishi lakini hela yangu niwe na uhuru nayo, kwanza warembo wakikuona una mawe wenyewe wanajileta halafu niwaache, si dhambi hiyoEti!!!wakati warembo wanataka kukuburudisha usahau shida zako...hela ya masharti ni ujinga.Nikitaka kumkanyaga mtoto mrembo yoyote, kokote nataka niwe huru
ntaupata wap jaman nmeyachoka maisha hayaNi mojawapo pia ya kupata utajiri wa haraka wenye masharti
Kaka yangu alifariki mwaka 1998 kwa ukimwi ila akatangaziwa kafarik kwa "maleria sugu" nilikuwa bdo bint mdogo mpka leo sikuwah kupenda kile kit mana imeangamiza weng mana alikuwa player haswa!Mwaka2001 Nina Jamaa Yangu Wa Karibu Alikufa Kwa UKIMWI Lakn Historia Ya Mareheumu Ilisema Kafa Kwa Saratani Ya Utumbo.
Umewahi kusikia kitu inaitwa Mazingaombwe?....
Umewahi muona huko juu ya mti.. Au ndo porojo tu za vijiweni?Hela za maagano mbaya sana kuna mzee anamiliki pub moja hapa town ye ikifika saa 6 usiku anaenda kulala juu mti.daahh hadi huwa najiuliza hivi ela inatakiwa ikutunze au uitunze?
Kabisa mkuu, m mwenyewe siamini mwanamke yeyote tofauti na mama yangu,, Kama ni mama yangu nipo tiariMimi nataka ya kufa na kuoza kwa mke wangu, mimi niwe naokota funza anapokufa
Wote wana masharti magumuInawezekana Kwa Kumuabudu Mungu.
Huwezi Kuwa Tajiri Bila Kumuabudu Mungu Au Shetani.
Chagua Moja Mkuu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Wote wana masharti magumu
Hiyo itakuwa ni KigomaMshana hii inapatikana wapi?
Wote wana masharti magumu
Akha labda twende Pemba
Ukoje huoPemba kuna utajiri wa kutumia majini una masharti Magumu sana.
Hakuna kizuri kisicho na mashart....hata kupatikana kwa mwanadamu shart mume na mke wafanye ngonoWote wana masharti magumu
Tatizo sio masharti ni masharti magumuHakuna kizuri kisicho na mashart....hata kupatikana kwa mwanadamu shart mume na mke wafanye ngono