witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,839
- 47,747
Bado kuna watu wanaulizia uthibitisho! Utafikiri wanaishi mwezini hizi habari zipo nyingi mno na zipo kila mahali kwenye jamii zetu
Nisaidie kushangaaa!!! huku mtaani mbona ni zaidi ya reality show, haya mambo yapo mtaani kabisa sema wa2 wanajishaua kama hawaelewi hivi.