Senior Boss mila za kichaga usipofata ka ni ukoo lazma uangamie bila kupenda watu kuenda kinyume na miiko ya kikoo na familia bora hyo kuliko kutoa mikafara.
Ukisikia paa ujue kuna mtu limempata. nina hakika hii post ya Mshana imekushika pabaya
Aaaah bwana wewe acha ibishi bwana, wakinga wengi walipata utajiri kwa njia za majoka.... unajua nini kuhusu mwakipande
Kuna mmoja nikikua naambiwa ukiingia dukani kwake anakuona upo uchi nikabisha nikaenda na mazivu yangu nikanunua vitu wakati nataka kuondoka akanipatia nyongeza ya kiwembe nilibaki tu nashangaa.
Halafu akienda mdada yupo period anahudumiwa na Mke wake tu..usichezee mkinga na watu wanapanga foleni dukani kwake
You need to emancipate yourself from mental slavery. Otherwise, you will continue to be in the diabolical limbo.Hahaha! Pastor mwenye maneno ya shombo! Ovyo! Kubwa zima..
Amen to King Jesus.Well supported.
Mkuu palipo na damu kuna agano!!
Hili somo pana.
Sasa basi hakuna chochote kinachokamilisha agano/mkataba isipokua damu.na kumbuka kwenye hayo maagano/mikataba huwa kuna mashart!....
Sasa basi kinachofanyika kwa waganga baada ya msaka huo utajiri kuwekeana mkataba/agano,mashart pamoja na yote huambiwa leta kuku,mbuzi,ng'ombe, mtu kulingana na level ya utajiri though kwa kuanza wengi wanaanzia hapa chini yaani kuchinja kuku,mbuzi nk
Sasa hapa mganga anachofanya ni kidogo tu kuyaita hayo majini/mapepo ya utajiri na kuyaambatanisha na mhusika,so hizo roho au majini yanatii na kumfanyia kila kitu huyu mhusika anachotaka kulingana na mashart husika aliyopewa huko!!
Sasa kadri utajiri unapokua,ujue na kafara zinatofautiana ndo hufikia mahali zinatakiwa damu za watu!!!ss hapa ndo kasheshe ilipo!
Na pia inategemea mashart yenu mliyopeana Kule mwanzo!
Baadhi ya mashart unaweza kuta kila mzaliwa 1 kwny hiyo family anatolewa kafara,au kufanywa zezeta au hakuna kuoa/kuolewa,hakuna kufanikiwa ht ufanyaje,au kifafa kwa mtt 1 yaani mengi mno!!!
Nb,ubaya wa mashart hayo huwa yanabeba ukoo/familia nzima na hapa ndo shida!
The sad part is this, when these people die, they all go to hell. Why can't you ask God to bless you?
Proverbs 10: 22 The blessing of the LORD, it maketh rich, and he addeth no sorrow with it.
I love you Jesus.
aisee kazi kweli kweli,,ila kwann wasiwe wanatumia za wanyama tuu,,inakuaje kuaje mpk wanafkia kutoa uhai kabisa? na km ni damu bas kwann hata wasingekua wanaenda kuiba ama kununua za kwenye mabenk ya damu mahospitalini?
nahisi nahitaji ufafanuzi zaidi katika mechanism ya kuua mtu na kupata utajiri asee!
cc mshana jr
vica of christ au?habari ya kubusu pete ya askofu na kupata baraka!!!Kuzika mabaki ya watakatifu kwenye miimbali!!moon and sun god-Mshana ukisikia watu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa habari ndo hiyo!!Kiyoya hii kitu ni kila mahali mpaka kwenye ndoa na mahusiano hata kwenye dini zetu huwezi amini watu wanaroga sana tu,ila niliamua kuanza na kipengele kimoja kwanza cha utajiri .nitakuja na kingine cha dini ambacho najua nitapata upinzani mkubwa sana
vica of christ au?habari ya kubusu pete ya askofu na kupata baraka!!!Kuzika mabaki ya watakatifu kwenye miimbali!!moon and sun god-Mshana ukisikia watu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa habari ndo hiyo!!
SISI wakinga hatutumii uchawi bali maarifa tu. Kwanza utakubaliana na mimi kwamba wakinga ni wachapa kazi, hili halina ubishi it is there for all to see.
Wakinga sio wahongaji, wakinga hawavai nguo za bei mbaya, hawanunui magari ya kutanulia, hawanywi pombe za matanuzi, hawali nyama, wakisafiri hawali njiani maana kuna ule mkate wao wa kikinga ambao husafiri nao, kanisani wanatoa kiasi kidogo tu. Kwanini wasilimbikize mali ? Hutegemei kuona tajiri mbondei kwasababu tabia zao ni kinyume kabisa na za wakinga. Kama kuna mtu alishawahi kuona tajiri wa kibondei aingie pm nimtumie vocha anipigie.