Utajiri wa Dr. Dau unashtua

Tufahamishe basi hizo hisa ngapi anamiliki.

Halafu unajua mwanahisa na mmiliki tofauti yao?
Muulize aliyeleta uzi na kusema hayo, mimi nimesema KAMA, na nilichoweka hapo ni maana ya share, hisa.
 
Mkuu inaelekea umejiunga ili uwahi kupost bandiko la kusifia ufunguliwaji wa daraja la Kigamboni? Hongera sana
INAWEZEKANA IKAWA KWELI AMA ISIWE KWELI, DARAJA LA KIGAMBONI NI MOJA WAPO YA KAZI BORA KABISA KUTOKA KWA KIONGOZI BORA KABISA KATIKA UKANDA HUU WA AFRKA NA NAJIVUNIA KAZI HIYO KAMA MZALIWA WA KIGAMBONI, MWANA BANDARI SALAMA, NA MTANZANIA
 
Kama ni kweli Dr Dau ni mumiliki wa timu hiyo,ndiyo maana mwaka huu itashuka daraja.Kilio cha ufisadi waliofanyiwa na serikali ya CCM lazima kiishushe daraja timu hiyo.Lakini kati ya maagazeti nisiyoyaamini ni hilo na Jamhuri
 


Mkuu ume fume ila wakati huo huo mnasoma shule zetu
Vyuo vyetu
Mnatibiwa hospital zetu
Wacheni chuki sisi tumefundishwa kugeuza shavu la kushoto ukitandikwa kulia hatuna malipizi
 
Tupe ushahidi
 

Atakuwa pia anaimiliki Manchester United, Ushahidi mzito kama huo peleka kwenye magazeti yetu wauchapishe wakielezea "Utajiri wa Dau"
 

Mmemsaidia Rais kujua Mtazamo wenu dhidi ya watu fulani huenda akawa makini zaid siku zijazo
 
ACHENI ROHO MBAYA NA NYIE PIGANENI MFANIKIWE KWENYE MAISHA.TATIZO KILA MTU AKIWA NA PESA MNAMCHUKIA NA KUMUONA FISADI
 
Kilichoandikwa na Dira ni ujinga na uzushi mtupu! Hilo gazeti mmiliki wake bwana Msama ni tape li mkubwa wa viwanja na anawadhulumu sana waimbaji wa injili
 
Wanaukumbi.

Sisi kama Watanzania ni watu tunaopendana na kuhurumiana pamoja na kufarijiana, kama tulivyofahamiswa humu JF kuwa kuna Mtazania mwenzetu ndiyo mmiliki wa timu ya mpira huko Uingereza jana imeshuka daraja daah!!.

Tumpe pole Mtazania mwezetu asikate tamaa wapambeni huko daraja la pili na watarudi daraja la kwanza kinachotakiwa ni kujituma tu.

Tupo pamoja na Mtazania mwezetu kwenye hii hali tunakufariji ndugu yetu siyo jambo dogo kumiliki timu ya mpira huko Uingereza.

Nakala; FaizaFoxy Mzito Kabwela

 
Mkwerea huyoooo[emoji12] [emoji12] [emoji12]mimi simoo...
 
Dah pole zake.

Halafu kuna mlinzi mmoja wa getini huko Kigamboni alinukuliwa humu humu jf kuwa huyo Mtanzania fedha za kununua New Castle ni za mradi huo alioajiriwa huyo mlinzi kulinda getini.

Majanga.
 
Ngoja tumsubiri Mzito Kabwela bingwa wa habari za kiitelijensia pangine kaamua kuinunua Leceister city na kuachana na walioshuka!
 
Ni Mshabiki wa Yanga na Arsenal ila kwny umiliki anaimiliki Newcastle


Ok vizuri lakini biashara kama hizi zina risk sasa mtaji kubwa utaisha maana timu ikishuka daraja mapato yanapungua na wadhamini pia.

Mimi ngoja nijaribu bingo kwenye viwanda nione itakuwa vipi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…