THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,543
- 14,803
Huwa nashangaa watu wanavyosoma habari na kuichukulia jinsi ilivyo bila hata kujiuliza! Team ya Newcastle inamilikiwa na mtu mmoja tuu Mike Ashley! Sasa kusema dau ni mmoja wa wamiliki wa Newcastle fc ni uongo wa mchana mweupe, hata kama una ukweli wa baadhi ya maneno yako siwezi amini kwa kuwa ushasema uongo!
Mkuu kwan wabongo bado hujatuzoea?
Si ni kina sisi tulisema hapa kuwa Lowasa ni Fisadi papa pale uwanja wa mwembeyanga na kusema anastahili kunyongwa na baadae tukaja kusema Lowasa anafaa tumpe nchi afanye mabadilikoooo...na sisi sisi pia tukampigia Kura za kishindo hapa majuz october?.
Teh teh teh...bila kuibiwa kura zile huenda sasa angekuwa Prezoo yule?...
Teh teh teh...