Hizo ni inferiority complex zako, wanaodai kila siku kuna mfumo kristu, Kuna upendeleo baraza la mitihani, nafasi za uongozi zinatolewa kwa upendeleo unawajua, angalia idadi ya viongozi kwa maana ya wabunge, mawaziri, ma RC na mamlaka DC utajua wengi ni wepi, lakini cha kujiuliza ni kwa nini wako wengi huko? Mifumo sahihi ya elimu, muulize mzee Mohammed Said kasomea wapi?
Chuki mnatengeneza za kufikirika, hakuna anayewachukia waislam wasingesoma na wakaruhusiwa shule za mission, mhalifu ni mhalifu tu hana dini bwana. Akina Lowassa, Tibaijuka, Chenge na wengineo wametuhumiwa kwa rushwa, ufisadi na ubadhirifu umewahi kuwaona wenye imani moja na wao wakitokwa mapovu kuwatetea?
Kama umesoma basi huitendei haki elimu yakoyako Kuna zaidi ya dini katika maisha tunayoishi tukichangamana jamii zenye imani tofauti