Sukari Yenu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 1,698
- 1,260
Mkuu huyo mwanawe alikua anaitwa Rajab nini? Maana kuna mmoja tulisoma nae Tosamaganga alikua na mashauzi sana. Alikua na jezi ya Man U namba 7 nyuma kaiandika DAU. Kumbuka namba 7 alkua anavaa Beckham na ilikua jezi ghali sana, alisema kaiprint huko huko England.Nilisomaga na mtoto wake pale Mzizima miaka ya 2003, alikuwa anaipenda kweli timu ya Newcastle kiasi ikabidi aende uingereza kuishabikia vizuri, sasa ndio nimeelewa