Muulize aliyeleta uzi na kusema hayo, mimi nimesema KAMA, na nilichoweka hapo ni maana ya share, hisa.Tufahamishe basi hizo hisa ngapi anamiliki.
Halafu unajua mwanahisa na mmiliki tofauti yao?
Kwa wizi na ufisadi wa mali ya umma; Haturuhusiwi kamwe!Kwani haturuhusiwi kuwa matajiri?
INAWEZEKANA IKAWA KWELI AMA ISIWE KWELI, DARAJA LA KIGAMBONI NI MOJA WAPO YA KAZI BORA KABISA KUTOKA KWA KIONGOZI BORA KABISA KATIKA UKANDA HUU WA AFRKA NA NAJIVUNIA KAZI HIYO KAMA MZALIWA WA KIGAMBONI, MWANA BANDARI SALAMA, NA MTANZANIAMkuu inaelekea umejiunga ili uwahi kupost bandiko la kusifia ufunguliwaji wa daraja la Kigamboni? Hongera sana
Hata ikiwa vatican poa tuh..
Kaen mkijua kabisa kuwa hii nchi siyo mali ya kanisa...
We are telling you guys mambo ya kuendekeza mfumo kristo kama mlivyozoea tokea enz ya nyerere hayawez kuwa kama mnavyofikiria...
Hii nchi ni yetu sote na hzo fitna..udini wenu na chuki zenu peleken mnakojua...
Tunafaham kila kinachoendelea...makosa ambayo may be wazee wetu waliyafanya sisi hatutakuja kuruhusu yakijirudia...ndo iko hivyo.
Tupe ushahidiUtajiri wa aliyekuwa Mkurugenzi wa NSSF, Dr. Ramadhani Dau unafika zaidi ya Tsh 100 Bilioni.
- Ni mmoja wa wamiliki wa timu ya Newcastle ya Uingereza.
- Kampuni zake pekee ndizo zinazopewa tenda ya kufanya kazi NSSF.
Chanzo: Dira ya Mtanzania - 18 Aprili 2016
Mkuu huyo mwanawe alikua anaitwa Rajab nini? Maana kuna mmoja tulisoma nae Tosamaganga alikua na mashauzi sana. Alikua na jezi ya Man U namba 7 nyuma kaiandika DAU. Kumbuka namba 7 alkua anavaa Beckham na ilikua jezi ghali sana, alisema kaiprint huko huko England.
Aisee! Huyu mjahidina hatari sana
Najua wengi tumehamisha mijadala yetu toka kwa LUGUMI na Dr Dau kwenda kwa Pole Pole. Huyu mzinza anaweza akawa amefanya makusudi kuhamisha attention ya watu maana mjadala wa swahiba wake Kitwanga ulikuwa umemkalia kooni.
Naomba kuwakumbusha kwamba huko nyuma si mara moja Kikwete alikiri kushabikia timu ya Newcastle ya Uingereza. Akasema alianza kuipenda timu hiyo ikiwa na nyota wake Allan Shearer. Kumbukumbu zangu zinaonyesha miaka ya karibuni alihudhuria hata mechi moja yao moja
Maswali yanayofuata hapo ni je aliipenda kweli timu hiyo au aliwekeza kwa kumtumia rafiki yake Dau? Kama hakuwekeza alifahamu kwamba rafiki yake amewekeza kwa timu anayopenda? Kwa nini hakumshauri rafiki yake awekeze African Sport, Toto au Prison ili kuinua michezo ya hapa maana fedha zilikwenda kuwekezwa Uingereza zilikwapuliwa hap?
Huyu mtanzania ana hisa au mshabiki tufafanulie.
Ni Mshabiki wa Yanga na Arsenal ila kwny umiliki anaimiliki Newcastle