Utajiri wa Dr. Dau unashtua

Utajiri wa Dr. Dau unashtua

du, pole zake Dr Dau. ama kweli what comes around goes around. aliwaibia watanzania fedha zao na kuwekeza uingireza na Mungu ameamua kumuadhibu kwa namna hiyo bila huruma ili liwe fundisho kwa majizi mengine ya CCM yanayokwapua rasilimali za umma na kuzihamishia ughaibuni. kumbuka orodha ya majizi ya PANAMA papers imesheheni maCCM watupu akina abood, manji, chenge na majizi mengine lukuki. haya maCCM yataifilisi nchi hii ikiwa tutaendelea kuyachekea pasipo kuyachukulia hatua.
 
Dah pole zake.

Halafu kuna mlinzi mmoja wa getini huko Kigamboni alinukuliwa humu humu jf kuwa huyo Mtanzania fedha za kununua New Castle ni za mradi huo alioajiriwa huyo mlinzi kulinda getini.

Majanga.

Ndiyo daraja limetoa msingi wa kununua hisa Newcastle
 
du, pole zake Dr Dau. ama kweli what comes around goes around. aliwaibia watanzania fedha zao na kuwekeza uingireza na Mungu ameamua kumuadhibu kwa namna hiyo bila huruma ili liwe fundisho kwa majizi mengine ya CCM yanayokwapua rasilimali za umma na kuzihamishia ughaibuni. kumbuka orodha ya majizi ya PANAMA papers imesheheni maCCM watupu akina abood, manji, chenge na majizi mengine lukuki. haya maCCM yataifilisi nchi hii ikiwa tutaendelea kuyachekea pasipo kuyachukulia hatua.

Umemsahau au umemruka kwa Makusudi Rostam Aziz wa Edward Lowassa ambae pia ni mmiliki Mwenza wa Chadema kwny Panama Paper?
 
Wanaukumbi.

Sisi kama Watanzania ni watu tunaopendana na kuhurumiana pamoja na kufarijiana, kama tulivyofahamiswa humu JF kuwa kuna Mtazania mwenzetu ndiyo mmiliki wa timu ya mpira huko Uingereza jana imeshuka daraja daah!!.

Tumpe pole Mtazania mwezetu asikate tamaa wapambeni huko daraja la pili na watarudi daraja la kwanza kinachotakiwa ni kujituma tu.

Tupo pamoja na Mtazania mwezetu kwenye hii hali tunakufariji ndugu yetu siyo jambo dogo kumiliki timu ya mpira huko Uingereza.

Nakala; FaizaFoxy Mzito Kabwela

View attachment 346784
Tehteh! Wameufyata!
 
Pole yake make timu yake imeshuka daraja
 
Wanaukumbi.

Sisi kama Watanzania ni watu tunaopendana na kuhurumiana pamoja na kufarijiana, kama tulivyofahamiswa humu JF kuwa kuna Mtazania mwenzetu ndiyo mmiliki wa timu ya mpira huko Uingereza jana imeshuka daraja daah!!.

Tumpe pole Mtazania mwezetu asikate tamaa wapambeni huko daraja la pili na watarudi daraja la kwanza kinachotakiwa ni kujituma tu.

Tupo pamoja na Mtazania mwezetu kwenye hii hali tunakufariji ndugu yetu siyo jambo dogo kumiliki timu ya mpira huko Uingereza.

Nakala; FaizaFoxy Mzito Kabwela

View attachment 346784

Mtaji jina basi huyo mmiliki ili tumtumie salam za pole na kumtia moyo kwenye akaunti zake binafsi, au jina lake ni siri yako???
 
CAG alishamsafisha Dau.Hiyo bilioni 100 ni yake halali.Na ni mmiliki halali wa New Castle United
 
Dau ameiba hela nyingi sana Nssf,thamani ya Mali zake hailingani na kipato alivyokuwa anapata asilani,aandae tu ndoo
Huyu Adobe ni mfanyakazi au mfuasi wa mfanyakazi wa mtu NSSF! Yaani anamchukia Dau hadi basi! Juzi tumejadili ya UDom akaishia kwa Dau!
Haya bwana, jamaa sijui kakuudhi nini?
 
Back
Top Bottom