Utajiri wa Dr. Dau unashtua

Utajiri wa Dr. Dau unashtua

Kikubwa hapo ni chuki na fitina za kitoto juu ya Dk DAU mie nataka mtuweke wazi ndugu zetu wa upande wa pili Dk DAU amewakela nn au mna mdai nn maana kila yy tu
UFISADI NDIO UNATUKELA MBONA KITU KINAELEWEKA. MIMI KAMA MTANZANIA NAUPING UFISADI WA AINA YOYOTE ILE UWE UMEFANYWA NA MKRISTO AU MUISLAMU.
 
Naona umemtaja jk hapo vipi?.

Duh kweli Kikwete aliigeuza nchi hii shamba la bibi. Jamaa aliingia NSSF hajiwezi hata kumalizia nyumba yake ya kuishi halafu anatoka anamiliki timu ya Newcastle United na Mike Ashley!!!!! (Kama ni kweli)

Basi nchi imetafunwa kwa kiwango Kikubwa, kama tuhuma hizi ni za kweli kumpeleka mahakamani peke yake na kumfunga haitoshi, inatakiwa afilisiwe na waana wa Tanganyika warudishiwe mali zao. Zile Derm Tower hata zikiwa Hostel za wanafunzi wa IFM itasaidia kurudisha machungu. Na ile ya pale opposite na Mlimani City Derm Tower tuigeuze hostel ya Ardhi University
 
UFISADI NDIO UNATUKELA MBONA KITU KINAELEWEKA. MIMI KAMA MTANZANIA NAUPING UFISADI WA AINA YOYOTE ILE UWE UMEFANYA NA MKRISTO AU MUISLAMU.
Naomba sna tutumie Akili sie wote watu wazima hapa nafikiri na Nina hakika saizi mafisadi wote wapo mahakani akiwepo yule kamishina wetu mstaafu ss Dk DAU ndio kwanza kapewa ubarozi ina maana mtu safi tofauti na yule mama yetu ameambiwa htapagiwa kazi nyingine kifupi ndio imetoka kuna yule katibu kiongozi htapagiwa kazi nyingine kuna ndugu moja alikuwa mkurungezi as TPA nae cjui htapagiwa kazi pale TRH mzee has yupo mahakani vp kwa Dk DAU amepangiwa ubarozi ina maana mamlakaraka imejilizisha ni mtu safi as nyie na Roho zenu.
 
kwani mtu kuwa tajiri ni dhambi?

nashangaa kuna watu watamnanga dr dau kuwa tajiri wakisema kuwa alikuwa mtumishi wa umma so hakupaswa kuwa tajiri and the funny thing kuwa watu hao hao miezi mitano iliyopita walitaka kumwingiza madarakani RAIS ambaye utajiri wake ulikuwa una mashaka walikuwa hawahoji jamaa kapataje utajiri
Huna hoja.
 
huyu mshenzy kavuna sana rasilimali halafu CCM wanakuja kumzawadia ubalozi kwa ufisadi wote huu? inauma sana.
 
Kumbe na wewe ni kama mimi eeh!!
Afadhali uwe unapata habari humuhumu jf, maana ukijua zaidi ya humu HUTA_andika kama ulichoandika 2nd paragraph.

Kwa ufupi hawa unaopata taarifa humu jf kwamba ni mafisadi/matajiri ni cha mtoto kijana, na kwa kukuaminisha wewe na wenzako kuwa hawana utajiri lolote ndiyo maana wapo hapa hapa bongo, nyuma ya pazia akili, maisha na mienendo yao ipo kwa wakoloni.
Duh Hili Daraja la Dau kufunguliwa limewaletea shida kubwa sana wasiompenda Dr.

Eti mmiliki wa New castle, Sasa anafanya nini uchwarani, si angeenda zake akale samaki kwa ice cream
Kwa sasa Dubai wanaendelea kuwekeza miradi mikubwa sana ya ujenzi wa majumba makubwa ya makazi, biashara, hotel nk.
Apartment moja (Studio) inagarimu kuanzia shs 450,000,000/=.

Kuna watanzania (black skin) wanamiliki hayo mavitu wapo hapahapa na wakienda huko kutembelea assets zao hujui !!
 
Haya ni magazeti njaa tu , yasipoweka uzushi yatakufa na yanajua watanzania hobi yao kupiga majanga.
Ilitakiwa waweke source za habari zao kikamilifu
 
Tatizo siyo kuwa tajir, tatizo ni ka upataje utajir!!? Hilo mi sijui kapataje kwa hyo siwez anza kusema ni mwizi moja kwa moja, japo nampa benefit of doubt kwa sasa, kama ikithibitika ni kafisad kweli apo atumbuliwe tuu,

Ila mna niskitisha wachangiaj, wakat mna changia mnaona u dini tuu, hiyo sasa ni kuwa na uelewa mdogo tu
 
Mkuu huyo mwanawe alikua anaitwa Rajab nini? Maana kuna mmoja tulisoma nae Tosamaganga alikua na mashauzi sana. Alikua na jezi ya Man U namba 7 nyuma kaiandika DAU. Kumbuka namba 7 alkua anavaa Beckham na ilikua jezi ghali sana, alisema kaiprint huko huko England.
Ahmed dau
 
Najua wengi tumehamisha mijadala yetu toka kwa LUGUMI na Dr Dau kwenda kwa Pole Pole. Huyu mzinza anaweza akawa amefanya makusudi kuhamisha attention ya watu maana mjadala wa swahiba wake Kitwanga ulikuwa umemkalia kooni.

Naomba kuwakumbusha kwamba huko nyuma si mara moja Kikwete alikiri kushabikia timu ya Newcastle ya Uingereza. Akasema alianza kuipenda timu hiyo ikiwa na nyota wake Allan Shearer. Kumbukumbu zangu zinaonyesha miaka ya karibuni alihudhuria hata mechi moja yao moja

Maswali yanayofuata hapo ni je aliipenda kweli timu hiyo au aliwekeza kwa kumtumia rafiki yake Dau? Kama hakuwekeza alifahamu kwamba rafiki yake amewekeza kwa timu anayopenda? Kwa nini hakumshauri rafiki yake awekeze African Sport, Toto au Prison ili kuinua michezo ya hapa maana fedha zilikwenda kuwekezwa Uingereza zilikwapuliwa hap?
 
Hebu tupatieni ushahidi wa maandishi kwamba jk au dau ni mmoja ya wawekezaji,mbona mnatupa matango pori bila evidence?
 
Hebu tupatieni ushahidi wa maandishi kwamba jk au dau ni mmoja ya wawekezaji,mbona mnatupa matango pori bila evidence?
Unataka ushaidi gani? Omba mungu atuweke hai uone siku moja wana pingu
 
Back
Top Bottom