THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,543
- 14,803
Billion 100.utamiliki timu UK? Jamani tuwe wa kweli jamani!
Ha ha ha..
Unajua hata kama wanataka kumchafua wanabug step kwa kuwa ukiangalia tuh hiyo habari ya kuwa na utajir wa billion mia moja na kisha kumiliki club kubwa kama Newcastle utajia kabisa. Ni usanii na uongo ule ule ambao tumeuzoeaa...
Jaman huyu mtu mbona anawanyima usingiz sana