isk
JF-Expert Member
- Mar 23, 2015
- 441
- 267
Ivi kweli watanzania tuna uwezo wa kufikili au tuna matatizo ya akili maana tunajadili gazeti bila hata kuchunguza habari ni sahihi au imetengenezwa kumiliki timu ulaya mnafikili ni kuuza nyanya sokoni kwa mtindo huu CCM watatuongoza mpaka kiama kwanza watu wameshagawanyika kiimani ukiwa dini flani utamchukua wa dini fulani na ndicho nakiona hicho kinacho mponza da so ufisadi hakuna taalifa ya mkaguzi wa wa mahebu aliye toa taalifa ya dau kama kuna mtu ana kumbukumbu hiyo atukumbushe