Mtunza siri zako
JF-Expert Member
- Apr 11, 2025
- 586
- 975
Mshahara bado haujaingia, akaunti hazisomi ila ni uhakika kuwa Yesu anafufuka keshokutwa na tutasherehekea. Unamjibu vipi boyfriend au girlfriend wako akikuomba hela weekend hii?
We mtoto mbona hutulii unashida gani..?
Uwe unatembelea na jukwaa la siasa kakaMshahara bado haujaingia, akaunti hazisomi ila ni uhakika kuwa Yesu anafufuka keshokutwa na tutasherehekea. Unamjibu vipi boyfriend au girlfriend wako akikuomba hela weekend hii?
View attachment 3308755
Hata mimi sielewi kwa kweli 😆 😆 😆 😆We mtoto mbona hutulii unashida gani..?
Nini shida ya moyo wako..?Hata mimi sielewi kwa kweli 😆 😆 😆 😆
Ila ninateseka sana!
Maneno haya si mageni hapa mjini 😆Hela ipo fixed account siwezi kutoa
Umeona wapi neno mapenzi jamani? mi naongelea pasaka, au wewe ndo unayawaza?Unawaza mapenzi 24/7
Si mnapendwa kudanganywa japo wangu nampagaManeno haya si mageni hapa mjini 😆
Sawa Baba KisariiNgoja waje wala bata wakupe jibu
Sawa dada, wiki ijayo nitaanza kuzunguka na hukoUwe unatembelea na jukwaa la siasa kaka
Usiwe hivyo wewe 🤭😌Nitajibu sinaaaaaaaaaa kaombe kanisani
Sawa dada, wiki ijayo nitaanza kuzunguka na huko