Utahamia lini kijijini?

Utahamia lini kijijini?

Tangu nilipoondoka mjini na kukimbilia huku kijijini, nimekuwa na maisha ya amani na utulivu mkubwa sana.

Nilifanikiwa kupata shamba la ekari nne, ambapo nilijenga kibanda changu cha kujipumzikia pamoja na mama chanja wangu, pia nikachimba na kisima.

Nikaweka uzio wa mimea kuzunguka hilo eneo lote la shamba, ili mifugo yangu isiweze kutoroka hapa na pale.

Nililigawa eneo kwa makundi (A,B,C,D,E) ili kuweka mifugo mabali mbali.

A. niliweka banda la ng’ombe 5 kwa ajili ya kunipa maziwa kila siku

B. niliweka banda la mbuzi 50 kwa ajili ya kubadilisha mboga

C. niliweka banda la kuku wa kienyeji 200 kwa jili ya mayai na nyama

D. nimeweka banda la kitimoto 50 kwa ajili ya nyama

E. bustani ya mboga mboga, nyanya, vitunguu, mchicha n.k

Pia nikaotesha miti ya matunda kama michungwa, papai, parachichi, migomba, miwa n.k

Mabaki/uchafu unaotoka kwenye mifugo, unakuwa unaenda maeneo ya shambani/bustanini na kuboresha uoto wa mimea.

Kwa ujumla, mazingira haya yameniwezesha kuwa na utulivu wa akili, uchumi, na afya bora; magonjwa ya akaili hayatanipata.

Rafiki yangu mmoja, alikuja kunitembelea huku kijijini kwangu; alipofika tu na kusikia miluzi mbalimbali ya ndege ikipiga pambio, akaniambia, ‘’Equation x na mimi sirudi tena mjini.’’

Nikamuuliza kwa nini? akanijibu, ‘’tangu nimekuja huku, akili yangu imetulia kabisa, naokota matunda nakula, mayai nakula nitakavyo, kachumbari najitengenezea, nyama nachoma nitakavyo, Napata hewa safi, ndege wanakuja na kuniimbia nyimbo mbalimbali; kusema kweli naenda kuuza mali zangu zote mjini na mimi nakuja kuhamia huku kijijini.’’

Nikabaki nacheka tu.

Je, wewe, utahamia lini mjini?

View attachment 3416701
NDani ya miaka 10 hivi
 
Sijapata wakuhamia nae
KUna mazingira ukiishi unapata utulivu sana
Dada usipanick jamii forum kuna majinga yanapanikishq watu kwa mavitu ya kutunga katumia chatgpt kuandika hii habari katunga tu....yawekana ni matanio yake kwenda kijijini ila story nzima CHAT GPT. Naongea kama mtu ninae jua how chatgpt behave ukiandikia
 
Chai
images (1).jpeg
 
CHAI YA BARIDI,
IMEKARIBIA KUGANDA.

Chap chapa nipe consumption ya pumba na maji per day.
Ukiemda chat GBT ukaleta takwim za kupika ntakukamata ambapo hujaeleza kuwa na kibanda cha wafanyakazi, ila umesema ypo wewe na mkeo... wewe na mkeo hamuwez kuhudumia hao wanyama abadan + bustani.

Sasa bosi hao mbuzi, kuku, nguluwe , na ng'ombe ulihitaji kuwa na vijana watatu kama ungefuga kwa mtaji wa vifaa na machine. ... kwakukosa vijana na maelezo thabiti .... Basi hapo umenipa chai.
ni chai tu.
1753358321963.png

Baada ya watu kumcheka Nape na Robot lake, Bw Equation x akaamua kuliasili (adopt) na kulitumia shambani kwake.
 
Tangu nilipoondoka mjini na kukimbilia huku kijijini, nimekuwa na maisha ya amani na utulivu mkubwa sana.

Nilifanikiwa kupata shamba la ekari nne, ambapo nilijenga kibanda changu cha kujipumzikia pamoja na mama chanja wangu, pia nikachimba na kisima.

Nikaweka uzio wa mimea kuzunguka hilo eneo lote la shamba, ili mifugo yangu isiweze kutoroka hapa na pale.

Nililigawa eneo kwa makundi (A,B,C,D,E) ili kuweka mifugo mabali mbali.

A. niliweka banda la ng’ombe 5 kwa ajili ya kunipa maziwa kila siku

B. niliweka banda la mbuzi 50 kwa ajili ya kubadilisha mboga

C. niliweka banda la kuku wa kienyeji 200 kwa jili ya mayai na nyama

D. nimeweka banda la kitimoto 50 kwa ajili ya nyama

E. bustani ya mboga mboga, nyanya, vitunguu, mchicha n.k

Pia nikaotesha miti ya matunda kama michungwa, papai, parachichi, migomba, miwa n.k

Mabaki/uchafu unaotoka kwenye mifugo, unakuwa unaenda maeneo ya shambani/bustanini na kuboresha uoto wa mimea.

Kwa ujumla, mazingira haya yameniwezesha kuwa na utulivu wa akili, uchumi, na afya bora; magonjwa ya akaili hayatanipata.

Rafiki yangu mmoja, alikuja kunitembelea huku kijijini kwangu; alipofika tu na kusikia miluzi mbalimbali ya ndege ikipiga pambio, akaniambia, ‘’Equation x na mimi sirudi tena mjini.’’

Nikamuuliza kwa nini? akanijibu, ‘’tangu nimekuja huku, akili yangu imetulia kabisa, naokota matunda nakula, mayai nakula nitakavyo, kachumbari najitengenezea, nyama nachoma nitakavyo, Napata hewa safi, ndege wanakuja na kuniimbia nyimbo mbalimbali; kusema kweli naenda kuuza mali zangu zote mjini na mimi nakuja kuhamia huku kijijini.’’

Nikabaki nacheka tu.

Je, wewe, utahamia lini mjini?

View attachment 3416701
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 we jamaa ni muongo bana
 
Back
Top Bottom