Utahamia lini kijijini?

Utahamia lini kijijini?

Umefanya kitu inaitwa manifestation

Yaani unatangulia mbele then ndo unaanza mwanzo .

Wakati nafundisha , nilikuwa nikiitumia Sana hiyo mbinu

Unamwambia Mwanafunzi aandike marks anazotaka azipate kila baada ya session then ukiwapa test or exam inatokea the same au kukaribiana na kile alichokuwa anaandika kila siku
Kwahiyo kwa akili yako unaona hii story yake ni uhalisia.
 
Story ya kutunga na haina uhalisia, picha yenyewe uliyoweka ya mazingira kama England.
Na hizo harakati huzijui kabisa, mtu anayejua angedanganya kiasi isiwe rahisi kugundua uongo wake.

Ukute hapo uko Tandale kwa Tumbo.
Yaani mvivu sana story kaandika kwa chat gpt kisha picha kagoogle tu kabandika ni mjinga sana huyu jamaa
 
Story ya kutunga na haina uhalisia, picha yenyewe uliyoweka ya mazingira kama England.
Na hizo harakati huzijui kabisa, mtu anayejua angedanganya kiasi isiwe rahisi kugundua uongo wake.

Ukute hapo uko Tandale kwa Tumbo.
Maisha matamu yanapatikana kijijini
 
Nafikiri wewe ndo haujaelewa .

Story ametunga.

Ila ni kama mwandishi alikuwa aki-meditate kuhusu future yake

Anafanya manifest kuelekea manifestation .

Hamna uhalisia Ila kuna uhalisi .

Ameanzia Mwisho kuja mwanzo .
Hakuna uhalisi. Uhalisi gani wa kufuga mbuzi, nguruwe, kuku, ng'ombe idadi yote hiyo kwa ajili ya kitoweo, mayai na maziwa kwa mke na mume?
 
Back
Top Bottom