Philosophize 🤔🤔How can it be rubbish
Mitano tena kwa Mama SamiaTANZANIA YAZIPIKU KENYA NA UGANDA UWEZO WA KUHUDUMIA DENI LA TAIFA
Mwaka 2024 kampuni inayoheshimika zaidi Duniani kwa Uthamini wa Uchumi na Madeni ya Moody's wameitaja Tanzania chini ya Rais Samia, kama nchi inayoweza kuhimili vema deni lake kwa kuipa Daraja B1 wakati Kenya ikiambulia B3, Rwanda B2 na Uganda B2 (Moody's Page)
View attachment 3406604
Nikajua kawapiku utekajiTANZANIA YAZIPIKU KENYA NA UGANDA UWEZO WA KUHUDUMIA DENI LA TAIFA
Mwaka 2024 kampuni inayoheshimika zaidi Duniani kwa Uthamini wa Uchumi na Madeni ya Moody's wameitaja Tanzania chini ya Rais Samia, kama nchi inayoweza kuhimili vema deni lake kwa kuipa Daraja B1 wakati Kenya ikiambulia B3, Rwanda B2 na Uganda B2 (Moody's Page)
View attachment 3406604
Hao ni wahuni TU wanatoa sifa za kijinga!TANZANIA YAZIPIKU KENYA NA UGANDA UWEZO WA KUHUDUMIA DENI LA TAIFA
Mwaka 2024 kampuni inayoheshimika zaidi Duniani kwa Uthamini wa Uchumi na Madeni ya Moody's wameitaja Tanzania chini ya Rais Samia, kama nchi inayoweza kuhimili vema deni lake kwa kuipa Daraja B1 wakati Kenya ikiambulia B3, Rwanda B2 na Uganda B2 (Moody's Page)
View attachment 3406604
Ana nyota ya kurembua mimacho, kuuza bandari na kulea majiziMama Samia ana nyota kali sana
Wewe mjinga kweli, yaani unafurahia madeni? Hayo Matrilioni alizokopa zimefanyia nini nchi hii, last time umeandika nchi inayo akiba ya Trillioni 19 wakati kwenye government coffers inaonyesha akiba ya USD 5.4 na dhahabu ya 0.7 Bil USD, hujui mahesabu wewe au unadanganya tu.Deni la taifa limefika zaidi ya TZS Trillioni 120, sasa linganisha na akiba mliyonayo. Acheni kudanganya umma.TANZANIA YAZIPIKU KENYA NA UGANDA UWEZO WA KUHUDUMIA DENI LA TAIFA
Mwaka 2024 kampuni inayoheshimika zaidi Duniani kwa Uthamini wa Uchumi na Madeni ya Moody's wameitaja Tanzania chini ya Rais Samia, kama nchi inayoweza kuhimili vema deni lake kwa kuipa Daraja B1 wakati Kenya ikiambulia B3, Rwanda B2 na Uganda B2 (Moody's Page)
View attachment 3406604
Bado hujaongea chochoteWewe mjinga kweli, yaani unafurahia madeni? Hayo Matrilioni alizokopa zimefanyia nini nchi hii, last time umeandika nchi inayo akiba ya Trillioni 19 wakati kwenye government coffers inaonyesha akiba ya USD 5.4 na dhahabu ya 0.7 Bil USD, hujui mahesabu wewe au unadanganya tu.Deni la taifa limefika zaidi ya TZS Trillioni 120, sasa linganisha na akiba mliyonayo. Acheni kudanganya umma.
Wewe mbishi sanaBado hujaongea chochote
Philosophize,use your intellectThen how
ukichaa ni ukichaa tuMwendawazimu mkubwa wewe, unajua hata maana ya utafiti?
Ongelea figures, unajua kabisa kinachoendelea lakini unatetea tu. Acha uchawa ndugu. ongea ukweli.Kwanini mkuu
Nitakushughulikia vibaya sn ukiendeleaukichaa ni ukichaa tu