UTAFITI: Rais Samia awapiku Ruto, Kagame na Museveni-Moody's

TANZANIA YAZIPIKU KENYA NA UGANDA UWEZO WA KUHUDUMIA DENI LA TAIFA

Mwaka 2024 kampuni inayoheshimika zaidi Duniani kwa Uthamini wa Uchumi na Madeni ya Moody's wameitaja Tanzania chini ya Rais Samia, kama nchi inayoweza kuhimili vema deni lake kwa kuipa Daraja B1 wakati Kenya ikiambulia B3, Rwanda B2 na Uganda B2 (Moody's Page)

View attachment 3406604

Hata Trump kampita
 
kwani pesa aliyokopa nyingi vile, amefanyia nini na nini, tunataka mahesabu.including kusafirisha kina stive ake marekani na mambo kama hayo.
 
TANZANIA YAZIPIKU KENYA NA UGANDA UWEZO WA KUHUDUMIA DENI LA TAIFA

Mwaka 2024 kampuni inayoheshimika zaidi Duniani kwa Uthamini wa Uchumi na Madeni ya Moody's wameitaja Tanzania chini ya Rais Samia, kama nchi inayoweza kuhimili vema deni lake kwa kuipa Daraja B1 wakati Kenya ikiambulia B3, Rwanda B2 na Uganda B2 (Moody's Page)

View attachment 3406604
Kazi na iendelee Kwa Utu
 
Tuishi NAO TU taratibu SA tutafanyaje kuwatenga hatuwezi
 
TANZANIA YAZIPIKU KENYA NA UGANDA UWEZO WA KUHUDUMIA DENI LA TAIFA

Mwaka 2024 kampuni inayoheshimika zaidi Duniani kwa Uthamini wa Uchumi na Madeni ya Moody's wameitaja Tanzania chini ya Rais Samia, kama nchi inayoweza kuhimili vema deni lake kwa kuipa Daraja B1 wakati Kenya ikiambulia B3, Rwanda B2 na Uganda B2 (Moody's Page)

View attachment 3406604
mama hongera sana
 
Sometimes unaweza kumkufuru Mungu tu kwasababu ya uelewa wa Watanzania; Watanzania sisi hua hatujali chochote kuhusu future ya nchi yetu, tunajali leo tu, hatuna mpango wowote wa our next generation. Sina tatizo kabisa na hu utafiti, sina mashaka kabisa na majibu ya hu utafiti LAKINI nina tatizo moja kubwa sana na understanding yetu kama Watanzania hasa wasomi; siwezi kushangaa nikisikia mleta uzi ni intellectual na ana GPA ya maana kabisa kutoka kwa one of the recognized university. Hivi hatujui motive behind ya wakopeshaji hasa pale wanapo ona unazo resources za kutosha? Watakutia moyo ili ukope zaidi ili kuendelea kuweka rehani nchi yako, na vichwa vya Watanzania ndio kama hawa sifia Sofia sports ndio kabisaaaa. Kuna kitu hakipo sawa kwenye bongo za Watanzania wengi, of course including myself. 😢 😭 poor my country
Wenye akili watakuelewa
 
Back
Top Bottom