Utabiri kwa kutumia karata za tarot

Utabiri kwa kutumia karata za tarot

Challenging question. ...ukiisoma sana tarrot unaona kama kuna connection kati ya wewe na yenyewe kupitia kidole chako lakini pia ni kama ushetani fulani hivi au katika hali ya kawaida ni basic assumptions tuu
Kama kwenye hiyo site wanakupa karata then kabla hujadeal wanakwambia focus ndio uclick.. Mmh kuna connection hapo aisee
 
Mkuu nakubaliana na wewe..kwa asilimia mia moja...mm ni shuhuda wa hilo...ila utabiri wangu ulifanywa tofauti kidogo..ilikuwa mwaka 1999 kwenye mihangaiko ya kutafuta maisha..nilikwenda india..kule nilikutana na vijana wenzangu tukawa kama ndugu..siku moja kwenye pitapita yetu mitaani tulikutana na babu mmoja wa kihindi akiwa na njiwa wake mweusi...watu wamemjalia pale...tukasogea pale..akawa anawatabiria watu...kupitia hizo karata na njiwa wake..unampa rupees 5""au 10 basi tulivutiwa na sisi atutabirie maisha yetu ya pale india....kupitia karata likuwa hizo karata unazichanga mwenyewe.. Kwa mkono wako..halafu unaziweka chini....halafu njiwa anakuchagulia karata...kama tatu hivi...then yule babu muhindi anatabiri kulingana na njiwa karata alizozichaguwa. Tulikuwa 4... Mwaka 1999""" na alitutabiria na utabiri ukawa kweli...yule babu alinitabiria mm kurudi nyumbani salama...yule mwenzangu akamwambiya atarudi ila atapata taabu sana..na wale wawili alisema hawaoni...baada ya utabiri ilipita miezi 3""nikarudi tz..salama.tena.. Na zaidi ya 10 milions...yule aliyetabiriwa kupata taabu alirudi tz baada ya miaka 7 kupita..ila wale mtabiri aliosema hawaoni..mmoja aligongwa na gari old delh akafa..na mwingine alipigwa kisu na mwenzie akafa...so utabiri ulikwenda km yule njiwa alivyochaguwa karata.. KUNA WATU WANAJUWA UTABIRI...
 
Kuwa makini sana wewe ni malighafi moja muhimu sana kwenye mambo ya kiza
Mkuu mshana, hiyo alama M ni kama hii au kuna nyingine? Can you see it here?

bf563d4d7518dd2f9b3ab05f14cb9c56.jpg


Na nini maana yake hasa?
 
Hahahahahah anko mshana ushamtisha jamaa hapo eti mgoshi

Halafu Nina mada nataka uipandishie uzi hapa nitalutumia PM
[emoji23][emoji23][emoji23]huo ndo ukweli lakini.... Ok karibu
 
Hizo ndio RAMLI zenyewe zilizokatazwa kwenye vitabu vya dini

Kupiga bao heheheheh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom