Utabiri kwa kutumia karata za tarot

Utabiri kwa kutumia karata za tarot

Kuna nguvu gani kati ya hao wawili wenye nyota moja Mana am far way nje ya tz na bado tangu asbh tuko tunachat ila jion ananitumia massage whatsaap ananiambia anahis siko pouwa kabisa na kweli muda huo nilikuwa na feeling zangu nying Sana na sikuwa normal kabisa je Kuna nguvu gani hapa
Mawasiliano ya kiroho hayo... Kuna vibrations zinasafiri between the two na kuwasilisha situations... Unajua mawasiliano ya kiroho hayana mipaka
 
wazungu hasa watu wa MEXICO wanatumia ELIMU hii ya KARATA .

That’s true , nilikua naangalia jana Queen of the south , Camilla alimuita mtabiri aje kumtabiria future yake through card reading , Bahati mbaya akaambiwa her future is miserable , full of darkness , and it was true

Sasa nashangaa jana nimetoka kuangalia tu na leo ndo nakutana na haya mambo tena , mmh
 
Mpwa naamini unaifahamu hii.... Kama unaiamini wala hupaswi kuhangaika tena... Naamini umenielewa
That’s true , nilikua naangalia jana Queen of the south , Camilla alimuita mtabiri aje kumtabiria future yake through card reading , Bahati mbaya akaambiwa her future is miserable , full of darkness , and it was true

Sasa nashangaa jana nimetoka kuangalia tu na leo ndo nakutana na haya mambo tena , mmh
IMG-20191108-WA0095.jpeg
 
Karata za tarot, ni moja wapo ya ramli kama vile Horoscope. Lakini karata za tarot ni mbaya zaidi kwa sababu zinakupa majibu yoyote hata kama ni mauti.
Karata za tarot, ili upate majibu, huwezi kuzichanga na kuchagua mwenyewe. Ni lazima mchangaji awe Mtu tofauti na wewe unayetaka kupewa majibu.
Kadi zikichangwa ,huwekwa mezani, kisha anayepigiwa ramli, lazima aziguse kwa vidole vyake (shahada, na cha kiti), mara tatu. Kisha kadi zitapangwa mezani na ndipo atatakiwa kuchagua kadi moja tu, ambayo itampa jibu lake, la kufurahisha au la kuhuzunisha.
Kadi hizi hutakiwa kuchezwa mara moja tu kwa Siku sio zaidi ya mara moja kwa Siku.
Kadi za tarot asili yake ni nchi ya Egypt, na si tarot cards pekee, kuna kitabu cha ramli kiitwacho "Napoleon the book of Fortune".
Kitabu hiki ni hatari sana. Nilikisoma na nikagundua kuwa, kukaa na vifaa kama hivi, utajikuta umezama moja kwa moja katika kutegemea vifaa hivyo badala ya kutegemea MUNGU. Zaidi ya hapo, kukaa na vifaa vya namna hii , hautaishi kwa amani , na hautafurahia maisha.
Unaonaje ukiwa na mgonjwa kabla ya kumpeleka Hospitali, ukaamua kupiga ramli, na ukapata jibu kuwa mgonjwa wako atakufa, je utakuwa na moyo kumpeleka hospitali ?.
 
Napoleon the book of Fortune". Nakipataje hiki?

4596d32d9940a23a62efc6c12f5c25f5.jpg

Binadamu pamoja na maarifa yake yote kashindwa kujua kitu kimoja!...kesho yake si waamini Mungu, miungu wala wapagani si wanazuoni mahiri wala wanasayansi waliobobea wote maarifa yao yamegota kwenye leo na sasa hivi zaidi ya hapo ni upofu na giza.

Hali hii imesababisha kutokea kwa elimu ya utabiri na unajimu kwamba wewe kesho yako itakuwa hivi au vile

Hii elimu ni pana na kongwe sana na imegawanyika katika makundi haya;

-kwa kutumia nyota
-kwa kutumia viganja vya mikono
-kwa kutumia majira ya mwaka, miezi na tarehe za kuzaliwa
-kwa kutumia herufi na majina
-Na kutumia hii ya karata za tarot

Katika zote hizo ni hii ya kutumia karata za tarot ambayo hutoa majibu ya uhakika na uhalisia zaidi na uchezaji wake ni rahisi Tarot yaweza kuwa ndio elimu ya utabiri na unajimu kongwe zaidi duniani ikiwa na zaidi ya miaka 500

Kwenye kusoma karata za tarot huwa kuna mafungu yaani karata tatu sita tisa kumi na mbili na kuendelea lakini iliyo maarufu ni tatu na sita ni katika uchezaji huo karata utakazochagua ukija kulinganisha majibu yake na ukafananisha na mambo yako utapata majibu ya kushangaza mno

Hebu jaribu kuingia kwenye mtandao sasa ugonge tarot card reading halafu utaniambia...na baada ya hapo hutahangaika tena na tabiri zingine zisizotoa majibu ya uhakika!!! jaribu sasa

1f271d86b99111e0cecf1a397398dcbe.jpg
Ni hatari sana kijiachia kwenye utabiri wa aina yoyote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom