eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,401
Ukweli gani aisee ukweli anao mungu muumba wa mbingu na dunia tu na kila alichokiweka humoAcha woga ujue ukweli wa maisha yako
Ukweli gani aisee ukweli anao mungu muumba wa mbingu na dunia tu na kila alichokiweka humoAcha woga ujue ukweli wa maisha yako
Nipatie link ya website nami nichungulie plzMkuu nimepita kote kote yaani kwenye TAROTS na hizi karata 52 majibu yanafanana na kilichoelezwa ni kweli kama ninavyoishi na ninavyokaza kutafuta pesa,ila sirudii tena maana si mchezo
Thanks kiongozi inahitaji pc au hata simu tu??Ingia Google andika Free tarrot card reading
Ngoja nizame aiseee googleeHata simu kama una uwezo mzuri wa ku download
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimeingia nimekuta mambo mazuri mazuri yatatokea kwa suprizee mmmmh .nimejaribu kucheza kama tano hivi hazitofautiani kivilee.NIMEFURAHI KUNA KIPENGERE NIMEAMBIWA MWAKA WANGU HUU YAANI NIKIIANGALIA GARI TU NIKAIPENDA BASI NITAKUJA MILIKI.SASA NGOJA NIWE NASHINDA BARABARANI NIJICHAGULIE VOGUE MOJA MATATA.HEHEHEHE
Nimekwenda ndugu yangu kupitia pitia haya mambo kama wachangiaji wanavyosema ni kuya soma na kuyaacha hukooo unaweza kubweteka au kukata tamaa kwa ajili ya tarot kadi bure beleshi.Nenda Google kisha click free tarot card readings , zikishakuja utaona kitufye cha click to start. utaclik kadi sita kisha zitakupa majibu
samahani mkuu,huyo kwenye avatar ni weweMajibu yako yamesemaje ?
Mengine yanasema utakuwa vizuri ila mikwamo midogo midogo ipo so ni ramli kama ramli nyingine tunazozisikia.Ndo maana nikasema Ukifuatilia unaweza kubweteka au kukata tamaa.Majibu yako yamesemaje ?
Asante nimejionea mkuu.... Mmhh kuna mahali nimesoma wamenitajia na tarehe na mwezi ambao nitapata phone call itakayobadilisha maisha kwa kiasi fulani... I'm waiting for those days like [emoji15] [emoji15] [emoji15] nije nione kama kweliIngia Google andika Free tarrot card reading