The EmpressKizuri kula na nduguyo..![]()
Free Online Tarot Reading
Your Free Online Tarot Card Reading Starts Here ... no fee, no ads, no catch, no nonsense! Choose 6 cards from below and click the Get My Reading button!www.free-tarot-reading.net
Pata utabiri wako kamili hapa
Ingia uwanjani sasa... Green light tayari hiyoThe Empress
This is a truly creative and fertile time.
Expect the best if you are considering having a child, creating a new job or business opportunity or starting a creative project.
The Empress symbolizes abundance, joy and happiness, and reassurance - a firm foundation for future progress.
Kuna kitu kipo sahihi hapa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Ni kweli kabisa Kuna vitu nilikuwa nafikiri juu ya hayo siku Kama 4 nyuma hv Kuna kitu flani hv kimeonesha njia flani hvIngia uwanjani sasa... Green light tayari hiyo
Jambo zuri sana mkuuHatimaye nimeipata hii mada ya tarrot
Mshana Jr nitafasilie hizi kadi nilizo chagua Kama nilivo zipangilia imeaza kadi ya kwanza mpaka hiyo ya mwisho![]()
Binadamu pamoja na maarifa yake yote kashindwa kujua kitu kimoja!...kesho yake si waamini Mungu, miungu wala wapagani si wanazuoni mahiri wala wanasayansi waliobobea wote maarifa yao yamegota kwenye leo na sasa hivi zaidi ya hapo ni upofu na giza.
Hali hii imesababisha kutokea kwa elimu ya utabiri na unajimu kwamba wewe kesho yako itakuwa hivi au vile
Hii elimu ni pana na kongwe sana na imegawanyika katika makundi haya;
-kwa kutumia nyota
-kwa kutumia viganja vya mikono
-kwa kutumia majira ya mwaka, miezi na tarehe za kuzaliwa
-kwa kutumia herufi na majina
-Na kutumia hii ya karata za tarot
Katika zote hizo ni hii ya kutumia karata za tarot ambayo hutoa majibu ya uhakika na uhalisia zaidi na uchezaji wake ni rahisi Tarot yaweza kuwa ndio elimu ya utabiri na unajimu kongwe zaidi duniani ikiwa na zaidi ya miaka 500
Kwenye kusoma karata za tarot huwa kuna mafungu yaani karata tatu sita tisa kumi na mbili na kuendelea lakini iliyo maarufu ni tatu na sita ni katika uchezaji huo karata utakazochagua ukija kulinganisha majibu yake na ukafananisha na mambo yako utapata majibu ya kushangaza mno
Hebu jaribu kuingia kwenye mtandao sasa ugonge tarot card reading halafu utaniambia...na baada ya hapo hutahangaika tena na tabiri zingine zisizotoa majibu ya uhakika!!! jaribu sasa
![]()
Mzee wa tungur niambie hv watu wenye tarehe couple yao itakuwajeNilikuwa nataka nikuite sasa... Bahati umeshawasili
Dah nitahitaji muda wa kutosha tafadhali ili nisipotosheMshana Jr nitafasilie hizi kadi nilizo chagua Kama nilivo zipangilia imeaza kadi ya kwanza mpaka hiyo ya mwishoView attachment 1209065View attachment 1209066View attachment 1209067View attachment 1209068View attachment 1209069View attachment 1209070
Wote hao cancer nyota yao Ni moja mzee baba konki wa kilinge jfAngalia kwanza nyota zao
Kuna nguvu gani kati ya hao wawili wenye nyota moja Mana am far way nje ya tz na bado tangu asbh tuko tunachat ila jion ananitumia massage whatsaap ananiambia anahis siko pouwa kabisa na kweli muda huo nilikuwa na feeling zangu nying Sana na sikuwa normal kabisa je Kuna nguvu gani hapaHapo nguvu zinatoshana ogopa sana nyota za mmoja Simba mwingine mbuzi