TAECOLTD
JF-Expert Member
- Mar 2, 2013
- 1,051
- 1,845
Nini kilitokea kwani...Rafiki Mimi najua sana kuitumia hii kitu lakini imani yangu hainiruhusu, japo huwa nakatiza labda Mara moja kwa miezi miwili, bday yangu ya 2006 nilitumiwa kama zawadi nikaambiwa chagua halafu tuma rafiki sitosahau ktk maisha yangu. Nitasahau mwaka mzima inapofika bday yangu lazima nikumbuke