Utabiri kwa kutumia karata za tarot

Utabiri kwa kutumia karata za tarot

Habari mshana Jr vp umefanikiwa kupata kitabu na he kinapatikana mafuta gani
 
Kama mtu unaweza kutabiri kuhusu maisha yako au jambo litakalokuja baadaye JE ina maana maisha yapo destined kabisa tunaishi kulingana na yalivyopangwa na hatuwezi kubadilisha kilichopangwa? Napata nguvu ya kusema hvyo maana kwenye Biblia kuna kitabu kimeandika "naliwajua kabla hamjatungwa tumboni mwa mama zenu"
 
Kama mtu unaweza kutabiri kuhusu maisha yako au jambo litakalokuja baadaye JE ina maana maisha yapo destined kabisa tunaishi kulingana na yalivyopangwa na hatuwezi kubadilisha kilichopangwa? Napata nguvu ya kusema hvyo maana kwenye Biblia kuna kitabu kimeandika "naliwajua kabla hamjatungwa tumboni mwa mama zenu"
Sahihi kabisa.. Maisha yetu ni preplanned tangu kuzaliwa japo katika makuzi kuna wengi hujaribu kusahihisha na kwenda kinyume na asili
 
mimi kwangu naona yanaendana na mipango yangu, yaani ninachotaka kukifanya na ninachokipitia ndicho ninachoelezwa na utabiri,
uzuri mwisho kuna ushauri nini natakiwa kufanya.
Huo ndio uzuri wa Tarrot
 
Mkuu nakubaliana na wewe..kwa asilimia mia moja...mm ni shuhuda wa hilo...ila utabiri wangu ulifanywa tofauti kidogo..ilikuwa mwaka 1999 kwenye mihangaiko ya kutafuta maisha..nilikwenda india..kule nilikutana na vijana wenzangu tukawa kama ndugu..siku moja kwenye pitapita yetu mitaani tulikutana na babu mmoja wa kihindi akiwa na njiwa wake mweusi...watu wamemjalia pale...tukasogea pale..akawa anawatabiria watu...kupitia hizo karata na njiwa wake..unampa rupees 5""au 10 basi tulivutiwa na sisi atutabirie maisha yetu ya pale india....kupitia karata likuwa hizo karata unazichanga mwenyewe.. Kwa mkono wako..halafu unaziweka chini....halafu njiwa anakuchagulia karata...kama tatu hivi...then yule babu muhindi anatabiri kulingana na njiwa karata alizozichaguwa. Tulikuwa 4... Mwaka 1999""" na alitutabiria na utabiri ukawa kweli...yule babu alinitabiria mm kurudi nyumbani salama...yule mwenzangu akamwambiya atarudi ila atapata taabu sana..na wale wawili alisema hawaoni...baada ya utabiri ilipita miezi 3""nikarudi tz..salama.tena.. Na zaidi ya 10 milions...yule aliyetabiriwa kupata taabu alirudi tz baada ya miaka 7 kupita..ila wale mtabiri aliosema hawaoni..mmoja aligongwa na gari old delh akafa..na mwingine alipigwa kisu na mwenzie akafa...so utabiri ulikwenda km yule njiwa alivyochaguwa karata.. KUNA WATU WANAJUWA UTABIRI...
mmh hizi mambo mimi hamna aiseeh
 
Screenshot_20210624-201739.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom