eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,401
Mi sitaki ata kuangalia mi na mungu tu maishani
Naogopa kuamini ati maana mi kwa kuamini vitu ninavyoambiwa ni nomaItafute sana elimu Mungu hatuzuiii kujifunza
Kwani lina nini jina la utotoni na la chetiKazi tunayo kwa wenye jina la utotoni Na jina la vyeti
Hahahaaa jiangalie usije ukapata hofu na utakachokutana nacho hukoHii tarot card inashawishi ngoja niizamie fasta
Kama umeiweza hii kajaribu na cartomancy readingsDa asante mshana mi nimeangalia naona vitu vizuro vizuri tu na mambo kalibu mengi naona kuna kaukweli vile
Hahahaa utakoma sasa mungu ndie kimbilio tuHiyo reading ya tarot imesema kweli ati Mungu nisaidie sitaki kuwa addictive sijui kuna kitu gani kinachogundua?
Imeniambia vile nilivyokuwa tangu utoto na kunitabiria mazuri mbeleni Ila challenge ni ku fight fear na kuwork hard na ni kweli Kabisa yote inayosema salute mshanaNi usomaji ule ule wa tarot lakini kwa kutumia nambaView attachment 336909View attachment 336910
Na ndio maana nikasema tarot is the most correct katika uga mzima wa utabiri ila jitahidi sana isikuzoeeImeniambia vile nilivyokuwa tangu utoto na kunitabiria mazuri mbeleni Ila challenge ni ku fight fear na kuwork hard na ni kweli Kabisa yote inayosema salute mshana