Mungu akipenda. Tena huwezi amini siku hiyo nitaandika history ktk maixa yangu, kwani kwamara ya kwanza nitaishangilia simba AKA muhanga wa libolo. Vp ile ahadi yako utaiweka?Hahahahahaha!
Anyway,kwanza vp utakuwepo taifa j,mosi?mie ntanunua kesho ticket ya kuingia taifa.
Alafu ntakaa pale karibu na Manji wetu.
Kwahiyo yeyote utakayemuona yuko upande wa kulia wa atakapokua amekaa Manji ujue ndio mimi!
Wakuu naombeni mwenye kufahamu wapi kuna mtaalamu mwenye kua na dawa ya kuwaona wachawi.
Maanda wameifanya nyumba yangu ndio meeting station yao.
Nataka niwajue ni akina nani kisha nikawape makavu laivu 'nyambafu'
Juzi usiku walikua wanashindana kuburuza viti vya dining,jana wakawa wanachezea funguo za kabati.
Kuna siku waliwahi kumwaga mchanga kitandani!
Pls msaada,im serious aise!
thnx mkuu kwa kunirekebisha lkn Mungu ninaye Muomba na ananipa na kunishindia vita na wates wangu hausishwi na hayaHata wachawi nao wana ka mungu kao, kwa hiyo nao wanamuomba mungu, tofauti pekee hawamuombi Mungu wetu wa Abraham na Isaka.
...unajua unachoomba..? kwakifupi wachawi wanaoperate katika roho (chafu) so wakiwa katika roho kuweza kumuona unahitaji kuwa katika roho,either kama yake,ie roho chafu au ufunuliwe na Mungu, na ni mara chache Mungu huwaonyesha watu wake maana hana interest nao sana. Nakushauri utafute msaada wa kiroho wa kuwatimua hao wachawi kuliko kutaka kujua sura zao,wanaweza kukudanganya na kukupa sura ya rafikiyako wa karibu ukaishia kumpa makavu asiyehusika...Wakuu naombeni mwenye kufahamu wapi kuna mtaalamu mwenye kua na dawa ya kuwaona wachawi.
Maanda wameifanya nyumba yangu ndio meeting station yao.
Nataka niwajue ni akina nani kisha nikawape makavu laivu 'nyambafu'
Juzi usiku walikua wanashindana kuburuza viti vya dining,jana wakawa wanachezea funguo za kabati.
Kuna siku waliwahi kumwaga mchanga kitandani!
Pls msaada,im serious aise!
Mkuu hapo kwenye red,nahisi ndio zamu yangu sasa!utakua unaishi Maeneo ya Mwananyamala tu sio bure maana duh kule nouma ndio kuliacha nikaihama bongo aiseee, yaani utadhani hapo kwangu ndio Bungeni......it was terrible asikwambie mtu na ni mama mwenye nyumba mwenyewe ndio Pilot but i managed to see them twice. usiku kunakuaga na maombi Praise Power (99.1) na au WAPO Radio (98.1) kwa Dar es Salaam mikoani sijui
kama humuamini MUNGU basi unamwamini shetani.....take care but alternatively kula kitimoto na mifupa yake iweke huko unakohisi wanafika au else tafuta maji ya baraka na wewe jitahidi sana kufanya maombi......CC: Aine
Unamaanisha kwa waislam right?Naona kama majibu yanatoka upande mmoja, upande wapili vipi hakunaga namna ya kupambana na hawa mabazazi?
Yupi??Wanamuombaga mungu bhana!
Wakuu naombeni mwenye kufahamu wapi kuna mtaalamu mwenye kua na dawa ya kuwaona wachawi.
Maanda wameifanya nyumba yangu ndio meeting station yao.
Nataka niwajue ni akina nani kisha nikawape makavu laivu 'nyambafu'
Juzi usiku walikua wanashindana kuburuza viti vya dining,jana wakawa wanachezea funguo za kabati.
Kuna siku waliwahi kumwaga mchanga kitandani!
Pls msaada,im serious aise!
Wakuu naombeni mwenye kufahamu wapi kuna mtaalamu mwenye kua na dawa ya kuwaona wachawi.
Maanda wameifanya nyumba yangu ndio meeting station yao.
Nataka niwajue ni akina nani kisha nikawape makavu laivu 'nyambafu'
Juzi usiku walikua wanashindana kuburuza viti vya dining,jana wakawa wanachezea funguo za kabati.
Kuna siku waliwahi kumwaga mchanga kitandani!
Pls msaada,im serious aise!
Mpwa wangu suikatae kabla hujajaribu bhana, kataa baada ya kujaribu ati, sawa Mpwa nenda kagonge kilo kama tatu hivi upate mifupa uweke halafu utaniambia. Bytheway unajua kwani Bwana Yesu aliwafurumishia kule? Do you know the philosophy behind? Ok hilo ni somo jinginehapo kwa red me huwa na kataa kama jeshi la mapepo liliingia kwa nguruwe waliokuwa wazima machungoni, Yesu alipo wakeme wamtoke yule mtu alikuwa pwani!
Sasa je ndo ije kuwa kwa pua na mifupa ya nguruwe lbda ndo kusema nguruwe wa sasa wachafu?