Usitoe vyote.... atacheat tu! Jifunze uchoyo

Usitoe vyote.... atacheat tu! Jifunze uchoyo

Mapenzi ni sayari nyingine kabisaa .
Ni rahisi kusema hivi lakini when it comes mtu amependa Huwa Yuko Tayari kufanya unthinkable things

Labda awe Malaya , Maana mtu akisha kuwa Malaya Huwa haendeshwi sana na hisia za mahusiano, Malaya Huwaga wanatumia logic zaidi kwenye mahusiano kuliko kuwa emotional
Umeamua kutusema.?
 
Sio malaya…. Sema ni ubinafsi…. Watu wabinafsi TUNAendeshwa na logic. Na ili uwe mbinafsi ni lazima uwe unajipenda sana, na ili ujipende ni lazima uwe umelelewa na watu wenye upendo.

Malaya wanatoa vyote, kila kitu mezani.

Nilikuwa natafuta namna nzuri ya kumjibu sikupata ila naona umemaliza. Mtu anayejichagua yeye kwanza hata akitoa vyote (hivi vyote sijui ni vinini ila twende tu hivyohivyo) anatoa kwa sababu anataka sio kwa kutaka kumfurahisha mtu, kifupi hawezi kufanya kitu ambacho kitamgarimu yeye ili amfurahishe mwingine
 
Vyote!! Au yote na kama ukishampa umempa au kuna namna kipimo cha kumpea, nusu robo au nusu na robo, hiyo vyote ni mlango wa uani!! Ego yangu iko level za juu sana imenisaidia kuishi ktk mahusiano na ndoa, mwanaume anaishi vile navyotaka mimi, fambastick
Ila Kapeace 😁😁😁 wanaume watakuroga, hawapendi kabisa mwanamke anayejichagua yeye kwanza
 
Original post ya mleta mada inasema, usitoe vyote, maana hata ukitoa vyote atacheat….

Fikiria hilo, halafu fikiria nilichojibu utagundua niko sahihi 💯

Men math: Kila anachofanya analenga yeye kuenjoy wa kwanza, sisi wanawake “wabinafsi “ tumeadapt hii “crucial “ character ya kiume…… We good!

Hili wazo la mleta mada halijatokea from no where… limetokea kwenye mafundisho “tunayofundishwa wanawake “ juu ya mahusiano na ndoa kuwa we have to give our all ili tumbakishe kiumbe wa kiume asiende… Watu wamevunja viuno huko wakaja kugundua yote ni ubatili na kujilisha upepo huyu kiumbe wa kiume ataenda tu….. Hence wakaja na hili “usimpe vyote sababu hata ukimpa bado atacheat”

Sasa sisi wengine tuliokua tukiobserve jinsi jamii ilivyo na inavyotoa rewards …. tukaamua kuwa Rebellious people “wabinafsi”

I hope this helps x, kama unabinti mfundishe hili litamsaidia sana katika hii dunia ya mzungu 😂
👌🤝ndaga😆
 
Nilikuwa natafuta namna nzuri ya kumjibu sikupata ila naona umemaliza. Mtu anayejichagua yeye kwanza hata akitoa vyote (hivi vyote sijui ni vinini ila twende tu hivyohivyo) anatoa kwa sababu anataka sio kwa kutaka kumfurahisha mtu, kifupi hawezi kufanya kitu ambacho kitamgarimu yeye ili amfurahishe mwingine
Na hii ndio tabia ya kiume 😅 Hawapendi kwamba tunaijua.
 
Mapenzi ni sayari nyingine kabisaa .
Ni rahisi kusema hivi lakini when it comes mtu amependa Huwa Yuko Tayari kufanya unthinkable things

Labda awe Malaya , Maana mtu akisha kuwa Malaya Huwa haendeshwi sana na hisia za mahusiano, Malaya Huwaga wanatumia logic zaidi kwenye mahusiano kuliko kuwa emotional
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii ni kwa wote lakini haswa kwa wanawake usijimalize sana...akiamua kufanya yake anafanya tu
haijalishi level ya mahusiano yenu hata mume na mke

Mara nyingi uaminifu wa mtu umetenganishwa na vitu akiamua kuwa mwamifu kwako atakua tu

Jifunze tu uchoyo ndugu yangu
usitoe kila kitu
Najaribu kuwazia uzi huu unalenga nini 😁, hasa hapo kwenye " usitoe kila kitu"
 
Na inawezekana pia kutokutoa yote popote… sisi wabinafsi namna tulivyoumbwa kuenjoy kwetu hakuhusiani na kukunjua nafsi.

If you know you know.

Na hata mtu akienda we good… we didn’t give it all anyways 😂

Imagine mtu anatoa yote halafu anashuhudia mtu wake yuleeeee anapepea, ndio maana people are bitter out here…. Ungeweza kupima tu kukakuepusha na jakamoyo.
Naona unajitaidi kujifariji.. pole kwa yote yaliyokukuta 😆.
 
Epuka mwanamke damaged, utamjuaje damaged? Wana viashiria vyao kuishi kwa experience ya matukio ya nyuma na hawezi kujificha kamwe. Labda ka unasuuza tu rungu sio kuweka kambi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣 Jana nimepitia huko Mjini exotic itoshe tu kusema kwamba kwasasa unaweza kukuta Nchi nzima wasio uza papa wamebaki elfu 10
 
Back
Top Bottom