Usitoe vyote.... atacheat tu! Jifunze uchoyo

Usitoe vyote.... atacheat tu! Jifunze uchoyo

Hii ni kwa wote lakini haswa kwa wanawake usijimalize sana...akiamua kufanya yake anafanya tu
haijalishi level ya mahusiano yenu hata mume na mke

Mara nyingi uaminifu wa mtu umetenganishwa na vitu akiamua kuwa mwamifu kwako atakua tu

Jifunze tu uchoyo ndugu yangu
usitoe kila kitu
Ukitaka kutumia akili kwenye mapenzi UTAFELI.

Wewe kama unampa mpe tu
 
Back
Top Bottom