Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 54,992
- 54,132
Wafundishe vibaya tu
Swali gani mkuu😁Nakumbuka niliulizwa swali moja tu nikatuliza ubongo
Wacha awafundishe vibaya…. Sababu tumeona waliofundishwa vizuri yaliyowakuta 😅Wafundishe vibaya tu
Sasa wewe si ushatoa vyote halaliWacha awafundishe vibaya…. Sababu tumeona waliofundishwa vizuri yaliyowakuta 😅
Hii kutoa yote pia ni pana naona😁😁Nahisi mda mwingine ni kama dozi ya dawa tu. Kila aina ya ugonjwa,dawa na dozi ni tofauti. Yawezekana kwa ubinafsi wako unahisi jamaa unalipimia nusu kumbe lenyewe linaona umetoa vyote sababu kwenye moja ya kitu ambacho huwa anaenjoy basi umempatia😅😅😅Hujawahi kutana na jamaa linakuganda hafu wewe unaona huyu mbona namfanyia kawaida kuliko yule hafu bado linakung'ang'ania,ujue hapo moja ya siraha ulizotoa basi ipo jamaa umemtandika nayo ya ubongo kabla hata hujafungua ghala zima.Na inawezekana pia kutokutoa yote popote… sisi wabinafsi namna tulivyoumbwa kuenjoy kwetu hakuhusiani na kukunjua nafsi.
If you know you know.
Na hata mtu akienda we good… we didn’t give it all anyways 😂
Imagine mtu anatoa yote halafu anashuhudia mtu wake yuleeeee anapepea, ndio maana people are bitter out here…. Ungeweza kupima tu kukakuepusha na jakamoyo.
Hata …. nina kipimo, japo pia dunia yangu si mbaya.Sasa wewe si ushatoa vyote halali
Safi mremboHata …. nina kipimo, japo pia dunia yangu si mbaya.
Kwaheri……Hii kutoa yote pia ni pana naona😁😁Nahisi mda mwingine ni kama dozi ya dawa tu. Kila aina ya ugonjwa,dawa na dozi ni tofauti. Yawezekana kwa ubinafsi wako unahisi jamaa unalipimia nusu kumbe lenyewe linaona umetoa vyote sababu kwenye moja ya kitu ambacho huwa anaenjoy basi umempatia😅😅😅Hujawahi kutana na jamaa linakuganda hafu wewe unaona huyu mbona namfanyia kawaida kuliko yule hafu bado linakung'ang'ania,ujue hapo moja ya siraha ulizotoa basi ipo jamaa umemtandika nayo ya ubongo kabla hata hujafungua ghala zima.
Sasa hapo nimeongea ufirauni gani 😌 SeranUnatag tu mafirauni wenzio sio🤔
Daah huu udhaifu nilio nao si mzuri kwa kweli.. sometimes najifungia mahali nalia kujutia hiko kitendo, ila ukipita mda nikiona makalio mazuri ya mdada, baadae akili yangu na tamaa vinarudi huko SeranNakujua mzee wa💩
![]()
Ukiwa mbinafsi hata mapenzi hayawezi kukuendesha..!!
Wabinafsi siku zote tuko upande wa “I love you too” ukiaga tunasafisha room tunapulizia na rungu kuua chawa ulizoacha..!! 😹😹
Sema kuna kitu Patel alipandikiza Fore mbona wadada tumekuwa majeuri sana..!! 😹
Najua unafurahia sana! nilikuona kule fantasy unavyojiachia tu mafirauni wenzio! Itafika mahala hutotamani hata kujiangalia! Hilo ni pepo nenda likang’olewe!Daah huu udhaifu nilio nao si mzuri kwa kweli.. sometimes najifungia mahali nalia kujutia hiko kitendo, ila ukipita mda nikiona makalio mazuri ya mdada, baadae akili yangu na tamaa vinarudi huko Seran
Unatufundisha uchoyo et
We ukiamua kumpa mtu mpe tu
Mimi kila kitu nachofanya kwenye sex asilimia 100 ni kwa ajili ya furaha yangu mwenyewe ukijitia bazazi sana hata huwezi kui enjoy sex
Ukijilegeza utalegea
Ukisikilizia utamu utausikia lazima
Huu msemo oooh siwezi kuhangaika kwa ajili ya mwanaume ataenda kwingine lol kwani unafanya ili asiende au ni kwa ajili ya enjoyment
NB : hakikisha unalala na mtu kwa ajili ya ku enjoy tu sio target nyingine
tangu lini pepo likangolewaNajua unafurahia sana! nilikuona kule fantasy unavyojiachia tu mafirauni wenzio! Itafika mahala hutotamani hata kujiangalia! Hilo ni pepo nenda likang’olewe!
Love exists for happiness, intimacy, and building a familyEmbu agiza kinywaji hapo, Ntalipa.
Haya mapenzi yapo ili kupunguza ukakasi wa maisha.
Huyu zuhura 🤣kweli mabaya najua mazuri yangu mtayasema nikifaa aaah ShesRise_1
Wachungaji wana mbinu zao..tangu lini pepo likangolewa
hatare sana,,Huyu zuhura 🤣