Memento
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 4,423
- 9,962
Wewe jamaa hivi kweli unaelewa unachoandika?Nilisema kuwa (kwa maana hii) hakuna mtu ambaye kwa utashi wake angeliweza kwenda bot na kupewa taarifa za deni/ mkopo wa nchi halafu akaandika na watu wakajadili kwa mitazamo guru, bali walisubiri ama Rais aongee kwanza au amtume mteule ndipo waandishi waliweza kudakia juu tena kwa tahadhari kubwa na si kama alivyofanya Mr Balile siku chache zilizopita. Hapo utakuwa umenielewa.
Unataka uende BOT kupewa taarifa ya deni ili iweje? Taarifa za BOT zinatolewa kila mwezi miaka yote kwenye website yao
Ni wewe kuamua kuingia na kusoma
Hadi hapa naona aibu ikiwa hata hili ulikua hujui
Nakusaidia chini hapa nimeweka sehemu ambapo report za kila mwezi za BOT zinapotolewa, kisha bonyeza hapo palipoandikwa pakua