mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,066
- 39,512
Rafiki angu mmoja alianza kama Uvccm mpaka leo nae yupo huko. Hua nampima vitu vidogovidogo tu vya uelewa ila ni mweupe. Uchawa na Ccm ni janga la taifa.
acha unaa bana.
Rafiki angu mmoja alianza kama Uvccm mpaka leo nae yupo huko. Hua nampima vitu vidogovidogo tu vya uelewa ila ni mweupe. Uchawa na Ccm ni janga la taifa.
Zamani bwana, hii taasisi ilikuwa ya heshima na kujiheshimu, siasa ikaanza wakubwa wakaanza peleka watoto wao waliokataa shule, ilikuwa taasisi ya usiri mkubwa ikifanya kazi yake kwa uadilifu, leo kila mmoja anajitahidi umjue yeye ni usalama... yaani kimekuwa ka kigenge cha watafuna mirungi.Ni kweli na wengi wamegeukia kutapeli watu
Unahisi kwanini mchonga aliwajaza wanyalu huko wakati wakeNyerere aliwatafuta mpaka chooni, ukada ni sawa lakini cream bora ipo ndani ndani huko.Mfano januari ni tiss we unaona ni sawa.Mfano tu.
We jamaa muongo sana,halafu unajifanya mjuaji.Rafiki angu mmoja alianza kama Uvccm mpaka leo nae yupo huko. Hua nampima vitu vidogovidogo tu vya uelewa ila ni mweupe. Uchawa na Ccm ni janga la taifa.
Huwa ni watiifu na waoga, Halafu wana kaushamba fulani, hawana makuu.Unahisi kwanini mchonga aliwajaza wanyalu huko wakati wake
Ova
Jicho la kitiss tiss sio.View attachment 2472126
acha unaa bana.
Siku hizi ni kimbilio la waliokosa ajira na michongo.Zamani nani akimbilie geshi.Ndo maana jeshi lilibaki kuwa pride ya wakurya.Sasa wasaka tonge wanakuwa na uzalendo lini.Japo wema hawaishi.JWTZ
Perfect saidZamani bwana, hii taasisi ilikuwa ya heshima na kujiheshimu, siasa ikaanza wakubwa wakaanza peleka watoto wao waliokataa shule, ilikuwa taasisi ya usiri mkubwa ikifanya kazi yake kwa uadilifu, leo kila mmoja anajitahidi umjue yeye ni usalama... yaani kimekuwa ka kigenge cha watafuna mirungi.
"Hakuna hata mbongo anaejua hadhina za waingereza zilipo hata hao usalama wa Taifa." Wakati huohuo wewe ulishaambiwa, haya tueleze wewe ni raia wa wapi na aliyekupa siri hiyo ni raia wa wapi. Sometimes story za vijiweni zinahitajika kuchujwa kabla ya kuziweka kichwani mkuu.Km ilivyo kwa Upadre na Usista connection mkuu huna connection hupati hio nafasi kwenye hizo nafasi, connection kuanzia juu mpaka chini hauingii km unaingia kwenye dampo fulani hivi kuna watu wanakusolola tangu ukiwa yanki wanachukua data zako from the very beginning of your life, uonekane kweli kazi utaiweza na kuna familia hua zinalengwa sio kila familia unaweza kutoa hao watu, kibongo bongo Usiri ndio jambo la muhimu km huwezi kutunza Siri huwezi kua Padri huwezi kua Sista huwezi kua Usalama wa Taifa,
Kuna Siri unabebeshwa ambazo unahitaji umakini mkubwa kuishi nazo, nilishtuka nilipoambiwa hadi leo huko Masasi kuna waingereza wamechimbia hazina zao wakija wanajua eneo kwa kutumia compass, Ila wabongo hakuna hata anaejua hadhina za waingereza zilipo hata hao Usalama wa Taifa, usisahau waingereza ndio walitawala kwa kutumia mkono wa Damu
Umeongea kitu kikubwa sana chief.Mi naona kuna watu mnachanganya ma informer na watu wa usalama wa taifa. Anyways mengine yanipite ila kwa kazi zinazofanyika hadi wewe unalala usingizi ndani kwako ungeshukuru tu. Acha nikatafute jukwaa la mfumuko wa bei za vyakula ndo linalonihusu.
Usikate tamaa mkuu hiyo kitengo haina umri rasmi. Nawaza kwa sauti.Babu yangu aliniambia kuwa usalama wa Taifa ni sisi ambao tukipata taarifa tunapeleka polisi kwa hatua zaidi, maake mi mwenyewe huwa natafuta sana hilo chaka lakin mpaka leo sijafanikiwa, mwishoe umri wangu umezidi 30 sasa naendesha bajaji tu hapa mbezi mwisho.
Soma history mkuu kuna vitu vingi utajifunza, angalia hata makala mbalimbali za history ya nchi yako zitakupa mwanga,Sometimes story za vijiweni zinahitajika kuchujwa kabla ya kuziweka kichwani mkuu.
Wengi wanaipenda hii kazi lakini ukimuuliza swali kama hili unaweza vunja mbavu kwa kichekoUna weledi au ujuzi gani muhimu unaohitajika sana katika ujasusi?
Ungepewa kazi usalama ungekuwa mzuri katika kitu gani?
The lion doesn't concern himself with opinions of a sheepWe jamaa muongo sana,halafu unajifanya mjuaji.
Halafu wengi wanafikiria polisi, jeshi, usalama ni ajira.Siku hizi ni kimbilio la waliokosa ajira na michongo.Zamani nani akimbilie geshi.Ndo maana jeshi lilibaki kuwa pride ya wakurya.Sasa wasaka tonge wanakuwa na uzalendo lini.Japo wema hawaishi.
Wakaza nati au?Kwa Tanzania watu wengi wasio wakaza wamesajiliwa kama wakazi.
Mi naona kuna watu mnachanganya ma informer na watu wa usalama wa taifa. Anyways mengine yanipite ila kwa kazi zinazofanyika hadi wewe unalala usingizi ndani kwako ungeshukuru tu. Acha nikatafute jukwaa la mfumuko wa bei za vyakula ndo linalonihusu.
Halafu wengi wanafikiria polisi, jeshi, usalama ni ajira.
Hizo siyo ajira.
Unachokisoma kwenye vitabu kuna wenzio ndio mazingira yao ya kazi ya kila siku. Dunia ni kubwa peke yako huwezi kuijaza mkuu.Soma history mkuu kuna vitu vingi utajifunza, angalia hata makala mbalimbali za history ya nchi yako zitakupa mwanga,