HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 72,939
- 102,696
- Thread starter
- #81
Na hapo ndio nchi yetu huharibikia.Tatizo lao wana peana ajira wao kwa wao ajira za Baba kanituma na kamlete, vijana walio bahatika bila kujulikana ni wale walioingia kipindi cha ajira za ukuta
Hawawezi pata analysists wazuri kwa kupeana kazi.
TISS ambayo wao wanaenda nunua pegasus toka NSO ili wafatilie simu za watu. Badala waunde kitengo kizuri