Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,610
- 59,579
Endelea kujidanganya, huna mafunzo waliyonayo huwezi kua hao jamaa wewe endelea kuendesha boda boda tu,Usikate tamaa mkuu hiyo kitengo haina umri rasmi. Nawaza kwa sauti.
Sawa mkuu,Unachokisoma kwenye vitabu kuna wenzio ndio mazingira yao ya kazi ya kila siku. Dunia ni kubwa peke yako huwezi kuijaza mkuu.