HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 72,947
- 102,709
- Thread starter
- #21
Ndio maana twasema kuna kazi zatakiwa zitangazwe, wao waite watu.Rafiki angu mmoja alianza kama Uvccm mpaka leo nae yupo huko. Hua nampima vitu vidogovidogo tu vya uelewa ila ni mweupe. Uchawa na Ccm ni janga la taifa.
Wanaotakiwa kuwa siri ni waohusika na operations. Ila wahasibu kuwaficha si sawa
