Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 37,960
I know...tehe tehe nimeandika kwa chingereza lakini mimi si mwalimu wala muhaya...mie kawaida sana........sina hayo makitu
I know...tehe tehe nimeandika kwa chingereza lakini mimi si mwalimu wala muhaya...mie kawaida sana........sina hayo makitu
I know...tehe tehe nimeandika kwa chingereza lakini mimi si mwalimu wala muhaya...
Afadhali....maana
its better , mimi huwa najua nawasiliana na watanzania wenzangu wa kawaida kama wale ninao waona makazini , jirani na kwangu ,ndugu zangu , barabarani , masokoni n.k.................
sasa ninapokutana na mtu wa humu hata sishangai sana au sitarajii zaidi ya ninavyokutana navyo kwenye maisha yangu ya kawaida...........
ahahhahahhahahhahahha
-kwani uliwahi kuamini kuwa walimu hawajui kiingereza?
-ulishawahi kufikiri mtihani wako wa kidato cha nne bila somo la civics na history ungekuwa na alama gani?
-ulipokuwa unatonginzwa na kukubali uliamini upo kwenye interview panel so ulikuwa unaangalia amefanyaazi gani kabla ya kukutongoza wewe?
-una hadhi gana saaaaaana mnoooooooo ya kufanya usitongozwe?kwa kiiiiipi?
NTARUDI!
yeah...wengi wanamix Avatar na uhalisia wa mtu.....ukiona hako ka pic unahua HOE ndo niko
hivyo sa ukikuta tofauti unaanzisha na thread kabisaa....haya mambo haya....
si wanijua lakini huwa siandiki hv bila sababu?vuta pumzi uedit kidogo post yako hii bibie..............
hata mimi nimechefukwa ila tunajitahidi kupunguza mhemko.............
ha ha ha ha ha ha!!!!!!!!!!
mtu akiangalia hiyo ngozi , pua , lips na nyusi zilivyo hapaanajua Heaven on earth halijui jua la bongo...........![]()
atakutongoza kwa kiingereza,simu ataongea kiingereza utafurai umepata bonge la bwana linafanya kazi emmbasy ,un,usaid au ni mdiplomat yoyote kumbe ni mwalimu wa civics na history shule ya kata huko kongowe hajalipwa hata mishahara miezi mitatu.!
nawasilisheni
kuweni wakweli ndo hilo tu
Ox bow lake jee?
NIMERUDI!
-hiv ulishawahi kufikiria kwenda popote kwenye hizo embassy na diplomats
ofice ukaweka tangazo la kutaka kutongozwa?
-kwa akili zako zilivyo juu ya karatasi inayoitwa hela ungefanya hiv
hebu jaribu kuweka mic kwenye hiyo noti af iambie ikutongoze
-lakini pia unaweza kufanya hili,unaonaje ukianza kusimama kwenye kiooo
nafkir ukifanya ukiwa huna nguo ndo itakuwa poa zaidi,fanya kusimama
mbele ya kioo cha chumbani kwako!jipige maksi aseee!halafu utaamua
mwenywe unaweza kutongozwa na watu wa aina gani!
NTARUDI TENA!
ndo hivyo My doctor......Expect the unexpected its among my principles
Uko vizuri! Nakupenda bure!!
ukitaka kujua ualimu haufai kagombee nafasi yeyote ya kisiasa hasa ubunge,utapata majibu.
a.k.a Kusexchatishana!!!