Ennie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 7,137
- 4,138
AHHAHHHAHAHHAH!
nna hamu sana na mtoa mada!
yani raha ya uzuri huu ungeuona angekuwa hapa jukwaaani mida hii!
mxiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiu zake!
Mi kanitibua sitamani hata kumjibu,asije akanisababishia ban bure!
Watu tunaishi mjini kwa TGTS halafu analeta dharau!