atakutongoza kwa kiingereza,simu ataongea kiingereza utafurai umepata bonge la bwana linafanya kazi emmbasy ,un,usaid au ni mdiplomat yoyote kumbe ni mwalimu wa civics na history shule ya kata huko kongowe hajalipwa hata mishahara miezi mitatu.!
nawasilisheni
kuweni wakweli ndo hilo tu
Impressed!
Nitakutafuta unipe tution ya french!
Impressed!
Nitakutafuta unipe tution ya french!
Kuna demu alimaliza degree ya community development SAUT,akaniambia kwa kuwa nina certificate nitaambulia papuchi na wala si ndoa.Mwaka huu nimemaliza diploma yangu,yeye ni mwaka wa 3 anamaliza soli.Na sasa nipo na Mwalimu mwenye degree niliyempata humu humu JF.Wala hashoboki na pesa zangu zaidi ya mapenzi tu.Juzi huyo ex ananiambia maisha magumu,nikamwambia subiri nipate degree kwanza.Nyambaf!
kaka binamu nipo hapa
naona wajikopesha huko na hatujalipwa chetu bado
tution mwisho tuition lol
Huyu Mwl. kaka ana haiba,anaogopa kufukuzwa kazi na utumishi ndio maana kaka unaruhusiwa kumsindikiza dada akienda tution.
Cc. OLESAIDIMU
Ingawa mimi kaka yako naupinga huu uzi
lakini kwa wewe ili usipate tabu ya kimaisha sishauri uwatazame walimu
wewe mwenyewe kuwa mwalimu inatosha...tunahitaji shemeji a banker hivi lol

utakula cha mbavu na wewe oh!!
atakutongoza kwa kiingereza,simu ataongea kiingereza utafurai umepata bonge la bwana linafanya kazi emmbasy ,un,usaid au ni mdiplomat yoyote kumbe ni mwalimu wa civics na history shule ya kata huko kongowe hajalipwa hata mishahara miezi mitatu.!
nawasilisheni
kuweni wakweli ndo hilo tu
ngoja niende english course ..kumbe kingereza kinapandisha mtu dau bana..hata huniambiiwhere is Nyani Ngabu ?
kama hatuna kitu tusiongee kingereza?
sababu kingereza kinatoa impression ya mtu mwenye pesa?
really?