usiombee utongozwe na mwalimu hapa jamii forums

usiombee utongozwe na mwalimu hapa jamii forums

Status
Not open for further replies.
Poleni wanaume walimu, ila wadada zenu walimu wanakimbiza maana wana soko sana kwa ma Dr, Lawyers, Engineers, Managers etc.
Na ukiangalia shule za msingi walimu wenye magari asilimia kubwa ni wa mama.
Ushauri wangu tafuteni wamama 35+ hao wana maisha yao hawatawapendea pesa na wanaweza kuwatoa vile vile. LOL
...dah...
 
atakutongoza kwa kiingereza,simu ataongea kiingereza utafurai umepata bonge la bwana linafanya kazi emmbasy ,un,usaid au ni mdiplomat yoyote kumbe ni mwalimu wa civics na history shule ya kata huko kongowe hajalipwa hata mishahara miezi mitatu.!
nawasilisheni
kuweni wakweli ndo hilo tu
Kwa hiyo unataka akose mshahara akose na mapenzi?
 
Walimu nao kazi, tena ndo ajira pekee inayochukuwa watu vijana wengi;;;;;
 
ivi kama mtu anataka kukukula ni mpaka awe na hela? au hela za ni sasa jamani si nyama kwa nyama tu
 
....Hii thread ni full kichekesho, kweli Ualimu umepoteza heshima....
 
ulivyoongea kwa uchungu + dharau ya hiyo thread hapo juu...........

yaani sisi wenye wake walimu itabidi tuwatafutie kingine cha kufanya aseeeh!!!!!!!!!!

...Binafsi nimeshamtoa huko, unakuta eti anaenda kwenye kazi za dharura/ziada/maalumu kwa ki allowance cha elfu 5 tena nacho cha mkopo?my friend, hii haivumiliki....
 
ahahhahahhahahhahahha
-kwani uliwahi kuamini kuwa walimu hawajui kiingereza?
-ulishawahi kufikiri mtihani wako wa kidato cha nne bila somo la civics na history ungekuwa na alama gani?
-ulipokuwa unatonginzwa na kukubali uliamini upo kwenye interview panel so ulikuwa unaangalia amefanyaazi gani kabla ya kukutongoza wewe?
-una hadhi gana saaaaaana mnoooooooo ya kufanya usitongozwe?kwa kiiiiipi?
NTARUDI!

Ha ha haaa mwalimu mwenzangu big up!

Yeye alipotongozwa alikubali tongozo alikubali hela?

Halafuu kwani hela ndo zinazoshughulika? Alidhani anaenda kufanya na hela au m.b.o.o.

Urudi shosti, mwalimu.
 
atakutongoza kwa kiingereza,simu ataongea kiingereza utafurai umepata bonge la bwana linafanya kazi emmbasy ,un,usaid au ni mdiplomat yoyote kumbe ni mwalimu wa civics na history shule ya kata huko kongowe hajalipwa hata mishahara miezi mitatu.!
nawasilisheni
kuweni wakweli ndo hilo tu
Expect much is getting less!epuka dharau usishikiwe akili!
 
mie kawaida sana........sina hayo makitu

its better , mimi huwa najua nawasiliana na watanzania wenzangu wa kawaida kama wale ninao waona makazini , jirani na kwangu ,ndugu zangu , barabarani , masokoni n.k.................

sasa ninapokutana na mtu wa humu hata sishangai sana au sitarajii zaidi ya ninavyokutana navyo kwenye maisha yangu ya kawaida...........
 
...Binafsi nimeshamtoa huko, unakuta eti anaenda kwenye kazi za dharura/ziada/maalumu kwa ki allowance cha elfu 5 tena nacho cha mkopo?my friend, hii haivumiliki....

hongera sana mkuu,,,,,,,,,,,,,,,,

nitafuata nyayo zako, maana ualimu bongo ni kama utumwa sasa hamna heshima kabisa.................
 
ahahhahahhahahhahahha
-kwani uliwahi kuamini kuwa walimu hawajui kiingereza?
-ulishawahi kufikiri mtihani wako wa kidato cha nne bila somo la civics na history ungekuwa na alama gani?
-ulipokuwa unatonginzwa na kukubali uliamini upo kwenye interview panel so ulikuwa unaangalia amefanyaazi gani kabla ya kukutongoza wewe?
-una hadhi gana saaaaaana mnoooooooo ya kufanya usitongozwe?kwa kiiiiipi?
NTARUDI!

Haya uliyoandika yote sijasoma, nimeona hilo neno 'NTARUDI' tu....nasubiri ujio wako wa pili
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom