usiombee utongozwe na mwalimu hapa jamii forums

usiombee utongozwe na mwalimu hapa jamii forums

Status
Not open for further replies.

yaani we acha tu......kuna magarasha humu.....usiombe........

Duh! Kumbe wengi huwaga mnatongozwa humu! Mbona wengine wake za watu? Inakuwaje unakubali majaribu mpaka kukutana na hilo garasha?
 
atakutongoza kwa kiingereza,simu ataongea kiingereza utafurai umepata bonge la bwana linafanya kazi emmbasy ,un,usaid au ni mdiplomat yoyote kumbe ni mwalimu wa civics na history shule ya kata huko kongowe hajalipwa hata mishahara miezi mitatu.!
nawasilisheni
kuweni wakweli ndo hilo tu

Wale wale wanaojiuza. Mlivyowekewa uzi humu mlifoka sana. Mnapenda mno pesa ambazo wenzenu wamezitolea jasho kuliko utu! Kwani ualimu sio kazi? Kwani yeye haruhusiwi kuongea kizungu? Hana ze dudu la kukupa utamu? Mbona nyie tukiwaambia uwe na kazi mnauliza, kwani tunaoa kazi? Usikute mtu mwenyewe hata kazi huna!
 
Umeona eeeh, bora kidogo cha TGTS kuliko kikubwa cha kurisk maisha na kudanganyika na vingereza

Haswaaaa!!! Kimfaacho mtu chake bwana.
Acha tuendelee kusubiri malimbikizo sie na yeye asubiri wa diplomasia halafu tuone nani atacheka mwisho
 
Haswaaaa!!! Kimfaacho mtu chake bwana.
Acha tuendelee kusubiri malimbikizo sie na yeye asubiri wa diplomasia halafu tuone nani atacheka mwisho

Haswaaaaa.....watakuja wana diplomasia wakula mzigo watasepa.

Anataka hela, hatafuti za kwake. Bure ghali

Mimi mwenyewe nina mchumba tena nimempata humu humu jf.Na wote ni walimu,tunapendana kupita maelezo,december atakuja kuwasalimu wazazi Moshi.Na siku taratibu zitakapokamilika nitaweka tangazo humu la mualiko wa harusi yetu.Mtaishia kugawa papuchi zenu kwa mikopo,wenzenu tunaoa na kula tamu za ndoa.LAITI MNGEFAHAMU KUNA WALIMU WANA MAISHA SAFI KULIKO HAO MABWANA ZENU WANAOWAKOPA.JIPANGENI SANA!

Goood!!Mnama unambie na ntakuchangia!!!
 
Haswaaaaa.....watakuja wana diplomasia wakula mzigo watasepa.

Anataka hela, hatafuti za kwake. Bure ghali

Hao mbona atawapata wa kutosha tu? Awe tu na guts za kuja kufungua thread hapa atupe list.
Type hizi ndio wanasababisha thread za kudhalilisha wanawake zinaongezeka kila uchao hapa MMU,watu wanatoka povu kuzikemea kumbe kuna wanaozistahili hasa!
 
ukweli mtupu....na asikie huko aliko

Huyu Mwl. kaka ana haiba,anaogopa kufukuzwa kazi na utumishi ndio maana kaka unaruhusiwa kumsindikiza dada akienda tution.
Cc. OLESAIDIMU

Will you sleep in the teacher at home or you will be learning only and go to return home every day of the year to the finish in the class of this cause???!!!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom