jouneGwalu
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,687
- 1,782
ah mi we unaniuzi bana!
Kwahiyo ushanipa cha uso?
Usisikilize maneno ya watu....!
ah mi we unaniuzi bana!
Nawachukia sana watu mnaodharau kazi za watu....we ungejua kuandika na kusoma hapa JF kama sio mwalimu.?.then watu kama nyie ndo mnatufanya tudhalilike tu humu ndani....jifunze kuwaheshimu watu na kazi zao...
Kama kuna mwl yoyote aliyekwazika naomba msamaha kwa niaba ya huyu mwenzetu na ninatambua mchango wenu kwetu mpaka nimefikia haya mafanikio niliyonayo..
Mungu awabariki sana na msisikilize maneno ya kipuuzi..just ignore them.
rosita mi ni mwalimu kwa kejeli tunazokumbana nazo hapa (hasa kutoka kwa the so called WASOMI)
TUSHAJIONEA KAWAIDA,MAANA UALIM WA MTU WALA HAUHUSIANI NA UINJINIA WAKE AU MARKETING YAKE,,,,HUO NI ULIMBUKENI
atakutongoza kwa kiingereza,simu ataongea kiingereza utafurai umepata bonge la bwana linafanya kazi emmbasy ,un,usaid au ni mdiplomat yoyote kumbe ni mwalimu wa civics na history shule ya kata huko kongowe hajalipwa hata mishahara miezi mitatu.!
nawasilisheni
kuweni wakweli ndo hilo tu
Hapana dada Preta. Mimi nimesha kuwa mzee sasa. Watu hujikuta wakitarajia kukutana na watu wanao waona kwenye picha kitu kinacho kuja kuwa ghalimu kama mtoa mada. Ukiniona mimi utachoka kabisa mjukuu wangu.
Hao kweli ni so called wasomi...siamini kama ana elimu na kama anayo ni ya makaratasi haijamkomboa...na ndo wale ambao huwa wanasindikiza wenzao madarasani....mimi sio mwl but hakuna mtu ninayemweshimu kama mwl...
burudani kweli; kwani ulipotongozwa wewe ulifikiria nn kwa mara ya kwanza unamkubalia huyo mtu; pesa ama yeye alivyo? kama ni pesa hapo ndo kweli inakula kwako!
watu wanatafuta hao walimu unaowaongelea kwa kuwaona wako chini, ni kazi tu hiyo kama zilivyo kazi nyingine
Hao kweli ni so called wasomi...siamini kama ana elimu na kama anayo ni ya makaratasi haijamkomboa...na ndo wale ambao huwa wanasindikiza wenzao madarasani....mimi sio mwl but hakuna mtu ninayemweshimu kama mwl...
Mkuu kuna uzi humu unaongelea asilimia 98 ya wanawake ni wauzaji wa mapenzi ingawaje wengi wanatumia njia ambazo ni legal, ila dhumuni lao halina tofauti na wanaojpanga buguruni!!
mtoa mada unaonekana ni.....
.
Poleni walimu kwa mkasa huu wa kudhalilishwa
atakutongoza kwa kiingereza,simu ataongea kiingereza utafurai umepata bonge la bwana linafanya kazi emmbasy ,un,usaid au ni mdiplomat yoyote kumbe ni mwalimu wa civics na history shule ya kata huko kongowe hajalipwa hata mishahara miezi mitatu.!
nawasilisheni
kuweni wakweli ndo hilo tu
Hahahaha! Sasa babu si umuelekeze amupataje huyo jamaa!!