Usingizi maana yake nini? Kwanini viumbe hai husinzia?

Huwa sipendi kuumiza kichwa kwa maswali ya kipuuzi kama haya ambayo hayana majibu
 
Kuhusu mtu kusema usingizi mzito ama mnene ni maneno tu yanayoashiria kuwa umelala sana ama fofofo zaidi kulinganisha na siku nyingine ambapo inaweza ikapimwa kwa kutoshtuka kirahisi ulipoguswa ama kuitwa au kuchelewa kuamka.

Ni kama tu anavyosema "mpunga mnene" kwa kumaanisha hela nyingi ama kiburungutu kikubwa cha pesa na si lazima upime kwa kulinganisha na unene wa mbuyu 🙄, pia ni sawa na mtu anavyosema "hela ndefu" .... kwani huwa tunapima kwa futi????
 
Habarini za asubuhi wana jamvi.

Nimeamka asubuhi ya leo mapema tu, sasa wakati nashughulika na mambo flani best yangu akaniambia " leo nimelala usingizi mzito kweli". Nikamuuliza kilo ngap? Akakodoa macho tu bila jibu. Akaruka hio na kubadili akasema bas nimelala usingizi mnene, nikamuuliza unene wake ni zaidi ya mbuyu??
Naona jamaa katoa macho tena imebidi nimuache nije kuuliza huku.

Usingizi nini na unapimwaje nini kinanifanya nilale??

Karbuni.

hili swali tungempata wasira angelijibu vizuri maana alikuwa anasinzia sana bungeni.
 
Kuhusu mtu kusema usingizi mzito ama mnene ni maneno tu yanayoashiria kuwa umelala sana ama fofofo zaidi kulinganisha na siku nyingine ambapo inaweza ikapimwa kwa kutoshtuka kirahisi ulipoguswa ama kuitwa au kuchelewa kuamka.

Ni kama tu anavyosema "mpunga mnene" kwa kumaanisha hela nyingi ama kiburungutu kikubwa cha pesa na si lazima upime kwa kulinganisha na unene wa mbuyu 🙄, pia ni sawa na mtu anavyosema "hela ndefu" .... kwani huwa tunapima kwa futi????
Mkuu umeweka maneno ya kiswahili kweli na mimi nilitamani utumie fasihi yenyewe nielewe nini hii kitu usingizi
 
Kuhusu mtu kusema usingizi mzito ama mnene ni maneno tu yanayoashiria kuwa umelala sana ama fofofo zaidi kulinganisha na siku nyingine ambapo inaweza ikapimwa kwa kutoshtuka kirahisi ulipoguswa ama kuitwa au kuchelewa kuamka.

Ni kama tu anavyosema "mpunga mnene" kwa kumaanisha hela nyingi ama kiburungutu kikubwa cha pesa na si lazima upime kwa kulinganisha na unene wa mbuyu 🙄, pia ni sawa na mtu anavyosema "hela ndefu" .... kwani huwa tunapima kwa futi????
mkuu huu ndo ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app

IMG_20171203_223149_830.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom